Volatility
JF-Expert Member
- Aug 22, 2018
- 3,935
- 7,531
Magufuri amezaliwa katika rushwa, amekulia kwenye rushwa, amekomaa kwenye rushwa,anaipenda na sasa anailea rushwa.
Juzi, mbele ya umati wa wana dodoma, tena watanzania nchi nzima wakimuangalia kwenye TV aliwakamata TAKUKURU kwa rushwa na ubadhirifu. SABABU ANAWAPENDA SANAAAA AKAWASAMEHE MBELE YA TV.