Rais Magufuli ni mtu mwema na mwenye huruma wanaomuogopa ni wapiga dili na mafisadi

Rais Magufuli ni mtu mwema na mwenye huruma wanaomuogopa ni wapiga dili na mafisadi

CCM dili zimeisha tangu lini?
Wanaccm wamekula 10% miradi yote mikubwa ikiwemo wajumbe kutafuna Rushwa za wagombea wote wa CCM kwenye kura za maoni, CCM hawana mfano wa kuigwa hata mmoja
 
Kura za maoni ubunge CCM wote wametoa Rushwa cha ajabu hajafuta mchakato warudie upya kabakia kukumbatia report za hila Majungu fitna kuwachuja kukata majina kienyeji pasipo kuzingatia kuwa wote wametoa Rushwa hakuna malaika CCM.

Ikiwa mti mbichi unafanyiwa hivi itakuwaje kwa mti mkavu??
 
Kama alivyosema Katibu mkuu wa CCM Dr Bashiru kwamba Dr Magufuli ni mtu mwenye huruma nami nakubaliana naye kabisa.

Wanaomuogopa Rais Magufuli ukiwafuatilia kwa makini utagunduza kuwa ni watenda maovu na wanashikwa na uwoga kutokana na uovu wanaoutenda.

Ukiwa mwovu lazima utakuwa muoga.

2020 Hakunaga kama Dr Magufuli!
Akwilini alipiga Deal gani?

Ninyi mapunga mkienda peponi kwa tabia hizi, basi kila mtu ataenda.
 
Yes ni mtu mwema sababu kwenye utawala wake hakuna haya mambo;
unlawful or arbitrary killings by state security forces; torture; harsh and life-threatening prison conditions; arbitrary detention; political prisoners; arbitrary or unlawful interference with privacy; censorship, site blocking, and criminal libel; substantial interference with the rights of peaceful assembly and freedom of association; unlawful arrests and intimidation of civil society organizations

I write here not to defend Dr John Pombe Magufuli but to give the man from Chato his due. Dr Magufuli has faced ruthless public opprobrium by his foes and even some of his comrades. Let me tell you why they should zip it.

In the annals of the United Republic of Tanzania, I know many Tanzanians can hold a candle to Dr Magufuli as an honest and hardworking person. I know –Dr. Magufuli isn’t perfect. Who is? No leader in the world can claim to never have taken at least one wrong turn somewhere.

judge people by the full body of their work. You take the full measure of a person’s life and then you put it on a scale. Against this standard, Dr Magufuli must be judged as one of the most patriotic Tanzania's presidents alive.

The current crop of opposition leaders want to appropriate the language of revolution, but they are just fraudsters and deceivers with no clear record of opposing big businesses which want to rob this nation.

Much of the current ire and angst against Dr Magufuli springs from his serious determination to change the economic narrative of this nation. Their hysterics arise out of a sense of unrequited entitlement.

Their bitterness is actually anti-democratic because, in a democracy, no one is entitled to the right to rule, Chadema is among. They now threaten Armageddon. They fail to recognise that the chickens they hatched have come home to roost.
 
Katibu mkuu wizara ya fedha ni mwanae wa kuzaa nje ingawa huzuga ni mtoto wa dada yake wakitaka pesa BOT wanachukua mda wowote hata saa nane usiku.

Uwongo wa kupitiliza, Kina Dotto wako sita na wote wanafanana, baba na mama yake wako hai na wanaishi pamoja. usije ukalazimisha kuvunja ndoa ya miaka 56 ya hawa wazee. Doto amezaliza Mkulu hata shuguli ya kuninino hajaianza labda alianza na miaka 14.
 
I write here not to defend Dr John Pombe Magufuli but to give the man from Chato his due.
Dr Magufuli has faced ruthless public opprobrium by his foes and even some of his comrades. Let me tell you why they should zip it.

In the annals of the United Republic of Tanzania, I know many Tanzanians can hold a candle to Dr Magufuli as an honest and hardworking person. I know –Dr. Magufuli isn’t perfect. Who is? No leader in the world can claim to never have taken at least one wrong turn somewhere...

Zamani nilikuwa nikiona furushi la maneno ya kiingereza hivi nilikuwa naamini ni ya maana tu. Ila nimepitia hili furushi, nimekuta ni mapambio yale yale ya wanaccm wachovu lakini kwa lugha ya kikristo.
 
pole, tutaandika kwa lugha ya Kiislamu. Ila habari ya ukweli ni sisi kusimuliwa habari za ku umizwa ndio tutakula na kuishi. October haiko mbali tutarudi hapa hapa tuzungumze kumbe na mgombea wa wetu wa Chadema ni msaliti.
 
Zamani nilikuwa nikiona furushi la maneno ya kiingereza hivi nilikuwa naamini ni ya maana tu. Ila nimepitia hili furushi, nimekuta ni mapambio yale yale ya wanaccm wachovu lakini kwa lugha ya kikristo.
Hahahaaaa....... Umeelewa lakini?!
 
Huyuhuyu aliyeficha kile kivuko-feki kilichonunuliwa kifisadi ili kisiongelewe amekuwa mwema?!
 
pole, tutaandika kwa lugha ya Kiislamu. Ila habari ya ukweli ni sisi kusimuliwa habari za ku umizwa ndio tutakula na kuishi. October haiko mbali tutarudi hapa hapa tuzungumzi kumbe na mgombea wa wetu wa Chadema ni msaliti.

Nasema hivi, nilipokuwa mdogo sikujua hata English huwa inaandika upuuzi. Baada ya kujua hiyo lugha ndio nimegundua ujinga umo ndani ya ubongo, na hiyo lugha inaweza kutumika kuwasilisha huo ujinga, kama nilivyoona kwenye post yako. Hiyo October hii tume ndio itakuwa huru bila kufuata utashi wa rais?
 
Kama alivyosema Katibu mkuu wa CCM Dr Bashiru kwamba Dr Magufuli ni mtu mwenye huruma nami nakubaliana naye kabisa.

Wanaomuogopa Rais Magufuli ukiwafuatilia kwa makini utagunduza kuwa ni watenda maovu na wanashikwa na uwoga kutokana na uovu wanaoutenda.

Ukiwa mwovu lazima utakuwa muoga.

2020 Hakunaga kama Dr Magufuli!
Tusiangalie itikadi zetu, tujiunge kwa pamoja kumsaidia kamanda Lissu tumpe Nchi ipige spana . Tupate nchi yenye mifumo mizuri ya sheria hata ikitokea wewe mleta mada unakua Rais utaweza kutuongoza bila shida .
 
Tuanzie Ufipa Lisu kama mwanasheria mkuu wa Chadema amefanya nini kuboresha Demokrasia ndani ya chama?
 
Kama alivyosema Katibu mkuu wa CCM Dr Bashiru kwamba Dr Magufuli ni mtu mwenye huruma nami nakubaliana naye kabisa.

Wanaomuogopa Rais Magufuli ukiwafuatilia kwa makini utagunduza kuwa ni watenda maovu na wanashikwa na uwoga kutokana na uovu wanaoutenda.

Ukiwa mwovu lazima utakuwa muoga.

2020 Hakunaga kama Dr Magufuli!
Ni kweli kabisa lakini mtu mwenye huruma na upendo aliyemtumbua hadharani mgonjwa wa kansa anayepigania roho yake, Kabwe
 
tindo,

Bahati mbaya mimi sina na sihitaji niwe na uwezo wa kuandika kwa kudharau binaadamu mwenzangu, haya ni maoni tuu na kila mtu ana yake. Utamu wake ni pale tunaongea na lugha isiyo kera. Content inaweza kukera lakini siyo lugha ya uwakilishi ikukere.

Jukwa hili ni la sisi sote na lazima tuhakikishe JF analindwa na iweze kushinda mitandao mingine ya maoni kama Twetter, Instagram nk.

Tujitahidi, ila kama kwa maoni haya nimekukera , basi nisamehe bwana mkubwa.
 
Back
Top Bottom