Volatility
JF-Expert Member
- Aug 22, 2018
- 3,935
- 7,531
Tume huru ya uchaguzi?Na sasa ni mjumbe wa NEC
Hapana ni NEC ile shingo ya chamaTume huru ya uchaguzi?
Ben Saanane alikuwa fisadi? Azori alikuwa fisadi? Wako wapi? Kwa nini hakuonyesha hiyo huruma kwa hawa viumbe walikuwa hawana hatia yoyote? Lissu ni fisadi? Tuache kumkebehi Mungu! Tunaweza kujiona tuna akili kuliko hata Mungu lakini iko siku yaja!Kama alivyosema Katibu mkuu wa CCM Dr Bashiru kwamba Dr Magufuli ni mtu mwenye huruma nami nakubaliana naye kabisa...
Siasa hazitaki hasira mkuu. Ni kweli lissu alishambuliwa na majambazi lakini kwasababu za kisiasa watu wake wameona wapindishe ukweli. Lakini kama ulikua hujui nakutaka ujue sasa na ukawaambie mwenzako kua lissu alishambuliwa na majambazi .We zero brain kweli.
Acha kufuruKama alivyosema Katibu mkuu wa CCM Dr Bashiru kwamba Dr Magufuli ni mtu mwenye huruma nami nakubaliana naye kabisa.
Wanaomuogopa Rais Magufuli ukiwafuatilia kwa makini utagunduza kuwa ni watenda maovu na wanashikwa na uwoga kutokana na uovu wanaoutenda.
Ukiwa mwovu lazima utakuwa muoga.
2020 Hakunaga kama Dr Magufuli!
Ben habari zake anazo Saed Kubenea!Ben Saanane alikuwa fisadi? Azori alikuwa fisadi? Wako wapi? Kwa nini hakuonyesha hiyo huruma kwa hawa viumbe walikuwa hawana hatia yoyote? Lissu ni fisadi? Tuache kumkebehi Mungu! Tunaweza kujiona tuna akili kuliko hata Mungu lakini iko siku yaja!
Hapo ndipo nawaambia kuwa nyie jioneni mna akili kuliko Muumba wa Mbingu na Nchi tu.Ben habari zake anazo Saed Kubenea!
Nyodo ni siasa bwashee!Huwezi wajibu watu kwa kejeli na nyodo halafu ukajiita mwenye huruma.
Mtu mwenye huruma huwabambia kesi kesi wapinzani? Kuipiga trilion 1.5 kisha kumtoa CAG kafara siyo kutenda uovu? Zipo wapi zile bilion 251 zilipotea wizara ya ujenzi kwa kuwalipa makandarasi hewa kipo wapi kivuko cha Dsm-Bagamoyo?Kama alivyosema Katibu mkuu wa CCM Dr Bashiru kwamba Dr Magufuli ni mtu mwenye huruma nami nakubaliana naye kabisa.
Wanaomuogopa Rais Magufuli ukiwafuatilia kwa makini utagunduza kuwa ni watenda maovu na wanashikwa na uwoga kutokana na uovu wanaoutenda...
Mtu mwovu anahurumiwa bwashee?Vijana wa kisasa wana upumbavu wa kushangaza. Yaani unasema ana huruma halafu in the same sentence unasikia wanaomchukia ni wapiga dili, wala rushwa nk.
Huruma yake kwenye matendo hayo iko wapi!? Au unamaanisha kusema amehurumia hao wahalifu? Si ungesema basi anavowapa akina mama pesa kwenye ziara zake??
Katibu mkuu wizara ya fedha ni mwanae wa kuzaa nje ingawa huzuga ni mtoto wa dada yake wakitaka pesa BOT wanachukua mda wowote hata saa nane usiku.Vijana wa kisasa wana upumbavu wa kushangaza. Yaani unasema ana huruma halafu in the same sentence unasikia wanaomchukia ni wapiga dili, wala rushwa nk.
Huruma yake kwenye matendo hayo iko wapi!? Au unamaanisha kusema amehurumia hao wahalifu? Si ungesema basi anavowapa akina mama pesa kwenye ziara zake??
Kama alivyosema Katibu mkuu wa CCM Dr Bashiru kwamba Dr Magufuli ni mtu mwenye huruma nami nakubaliana naye kabisa.
Wanaomuogopa Rais Magufuli ukiwafuatilia kwa makini utagunduza kuwa ni watenda maovu na wanashikwa na uwoga kutokana na uovu wanaoutenda.
Ukiwa mwovu lazima utakuwa muoga.
2020 Hakunaga kama Dr Magufuli!
Kura za maoni ubunge CCM wote wametoa Rushwa cha ajabu hajafuta mchakato warudie upya kabakia kukumbatia report za hila Majungu fitna kuwachuja kukata majina kienyeji pasipo kuzingatia kuwa wote wametoa Rushwa hakuna malaika CCM.Magufuri amezaliwa katika rushwa, amekulia kwenye rushwa, amekomaa kwenye rushwa,anaipenda na sasa anailea rushwa.
Juzi, mbele ya umati wa wana dodoma, tena watanzania nchi nzima wakimuangalia kwenye TV aliwakamata TAKUKURU kwa rushwa na ubadhirifu. SABABU ANAWAPENDA SANAAAA AKAWASAMEHE MBELE YA TV.