Rais Magufuli ni mtu mwema na mwenye huruma wanaomuogopa ni wapiga dili na mafisadi

Kiongozi unahitajika KUHESHIMIKA AU KUOGOPWA? Wewe unataka wanao nyumbani wakuheshimu au wakuogope? Na ikiwa anaogopwa na wapiga dili,he hizo dili zimeisha au ndiyo zimeshamiri.
 
Eti mwema, uwo wema kaanza lini? Endeleeni kumchezea Mungu
 
Hata shetani ni mwema kwa masheta wezake
Hakuna mtu muovu katili mwenye visasi kama pombe
Hebu fikiria yalio mkuta lissu halafu akakataa kutoa pesa za mtibabu yule bwana Alie jitolea pesa kupeleka bungeni kafa kwa mazingira ya matatizo
Anawatesa mashekh Bure bila kuwapelekq mahakamani anachukua pesa nyingi za wafanya biashara na kuwafilisi kila chombo cha Habari anataka kumsifia yeye
Anyways wangapi walikua wauaji watesa na makatili na mwisho wake tunauona?
Kitu kikibwa tuombe uhai huyu mtu mwisho wake utajulikana
Wakati lissu yupo hospitali viongozi wengi kwa ajili ya utu na ubinadamu walienda kummpa pole akiwemo mama Samia baadae akawapa onyo kali
Huyu mtu jamani mwisho wake mbaya Sana mungu Ndio mjuzi wa yote kama alivyo washughulikia viongozi makatili na yeye atashughulikiwa tu
 
Asipotuambia walipo akina Beny Saanane na Azori Gwanda na pia nani alimjeruhi huyo wanayegombea naye urais, basi huo wema unaufahamu wewe, sisi wengine tunamwesabu kama mhalifu tu.
 
Wewe inatakiwa uende Milembe ukatibiwe ugonjwa wa akili
Ama una pepo.
Huyo fisadi na muuaji awe mwema!
 
MATAGA mmebaki wakiwa
 
Ni shetani mkubwa huyu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…