Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakumbuka hata mimi alinipeleka msasani, ila bahati mbaya tulidaiana chenji alipaswa kunirudishia jero (Tsh 500) kwa sababu alinicharge Tsh 2,500 na mimi nilitoa Tsh 3,000 yaani noti 3 za Tsh 1,000Alishawi nipandisha kama kumbukumbu zangu ziko vizuri
Watoto wetu mbeleni watadharau sana watu wenye PhD ! Sababu ya mambo kama hayaWaambieni watoto wawe wanafanya deiwaka. Sio kutwa wanajadili habari za umbea
Nimecheka kasema mwambieni Pinda jengo nimelivunjaaUbomozi wa jengo la tanesco je ulikuwa ni uamuzi sahihi wakati huu?
Tunawashukuru sana WB kwa kuweza kuzuia ubomoaji wa vijumba vyetuRais Magufuli ametoa siri hiyo leo wakati akizindua daraja la la Ubungo lililopewa jina la Kijazi Interchange.
Rais Magufuli amedai kuwa alipokuwa mwanafunzi wa chuo kikuu cha Dar es Salaam alikuwa akipiga kibarua cha kuendesha teksi bubu ili ajipatie chochote kitu. Na kituo alichokuwa anapaki ni jirani na lilipojengwa daraja hilo la juu mahsusi kupunguza foleni.
Rais Magufuli amesema kazi ya urais ni ngumu sana maana pamoja na kuwa na hamu ya kuendesha gari lakini huwa anakatazwa na kuzuiliwa.
Mbali ya hayo rais wa JMT amesema kuwa maendeleo huwa wakati mwingine yanakuja na vikwazo sababu wakazi wa maeneo ya Ubungo mpaka Mbezi mwisho walichukia kubomolewa nyumba zao pamoja na kuwa zilikuwa ndani ya hifadhi ya barabara.
Rais Magufuli amesema sheria ni Msumeno ndio maana hata jengo la Serikali ambalo ni mali ya Tanesco lilivunjwa japokuwa aliyekuwa waziri mkuu kipindi cha awamu ya nne ndugu Mizengo Pinda hakuamini kama litakuja kuvunjwa.
My take: Wakazi wa Dar es Salaam waambieni watoto wenu wasichague kazi. Kutwa wanashinda vijiweni wanajadili habari za Simba na Yanga,Diamond na Zari huku wakibweteka. Miaka ya nyuma mtu unapiga deiwaka ya udereva teksi huku unasoma.
Afadhali kidato cha sita kuliko wewe uliyeshindwa hata kuipata elimu ya std viiTatizo la Chadema wengi elimu zao waliishia kidato cha 6!
Hahahaaaa...... J J Mnyika ndio msomi wenu!Afadhali kidato cha sita kuliko wewe uliyeshindwa hata kuipata elimu ya std vii
Siyo issueHahahaaaa...... J J Mnyika ndio msomi wenu!
Kumbe!Siyo issue
Kwani wakati anapiga kazi ya tax bubu alikuwa anajua atakuja kuwa Rais!? Angekua anajua angepiga picha kibao, tena zingine akiwa na wateja wake!!Fix tu huyu mzee, hana lolote.
Kama kweli alete picha!
Mbona alipokuwa maabara alipiga picha nyingi tu na zilikuwa viral.. in short kuna vitu vingine havina umuhimu kuviongelea.Kwani wakati anapiga kazi ya tax bubu alikua anajua atakuja kua Raisi!? Angekua anajua angepiga picha kibao,tena zingine akiwa na wateja wake!!
Punguza hasira,kila mtu ana Maisha ya nyuma aliyoyapitia, hata wewe unayo labda zamani ulikua kibaka sema siku hizi umeaacha!!Kuwahi kuwa dereva tax inatusaidia nini sisi?
Yeye hawezi, sema Wananchi wakiamua wanaweza kumuongezea muda!!Hawezi kuongeza muda.