Rais Magufuli: Niliwahi kuwa dereva wa teksi bubu

Alishawi nipandisha kama kumbukumbu zangu ziko vizuri
Nakumbuka hata mimi alinipeleka msasani, ila bahati mbaya tulidaiana chenji alipaswa kunirudishia jero (Tsh 500) kwa sababu alinicharge Tsh 2,500 na mimi nilitoa Tsh 3,000 yaani noti 3 za Tsh 1,000

Basi tuliposhindwana dereva huyo wa Tax bubu ambae alikuwa mwanafunzi wa UDSM ikabidi anirushe alipo nichukulia pale ubungo kona ya chuo lucha ya kuwa nilikubali kumuachia lile Jero lakini aligoma kwa madai kwamba yupo kwenye vita ya uchumi na Mabeberu wapanda Taxi

Kwakweli hii vita yake ya kiuchumi na mabeberu wapanda Taxi kaianza muda mrefu sana nafikiri mnakumbuka hata wakati akiwa waziri, ase!!! maamuzi yake ya hovyo na jeuri bila busara yapo kwenye damu tangu akiwa Tax driver pale Ubungo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] haki sinto sahau !!!

MITANO TENA!!!
 
Jiwe anakandia "balakoa" kumbe yeye na viongozi wenzie wanayo mitungi ya oksijeni home!

amakweli akili za kuambiwa changanya na zako.

Waziri Mipango ametuthibitishia wanyonge kwamba alitoka home kwenda hosp. na mtungi wa hewa ya oksijeni.
 
Tunawashukuru sana WB kwa kuweza kuzuia ubomoaji wa vijumba vyetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…