Rais Magufuli: Niliwahi kuwa dereva wa teksi bubu

Hahaaaa
 
Kilele cha Maisha ni lazima kiwe na historia bhana cha mambo mtu ameyafanya na kukutana Nayo kabla ya hapo
 
Kwani yeye ndio wa kwanza kuendesha taksii?
 


Kuwa Tax bubu kumbe na yeye alikuwa mvunja sheria!!!??
 
Akiwa UDSM tayari alishakuwa Mwalimu.
Aache usanii huyu Mzee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…