Rais Magufuli: Ninaomba Mungu anisaidie misidentify kuwa na kiburi

Hiyo ni kama homa ya vipindi... Baada ya kampeni hizi za uchaguzi ataanza "kujimwambafy upya"
 
Wanaoelewa maana ya kiburi tunaomba mtufahamishe
Kiburi ni sifa kati ya sifa za m/mungu ikiashiria ukuu wake alio nao. Sifa hii inapochukuliwa na kiumbe yoyote inafsirika kuwa, kiburi ni kukataa haki na kudharau wengine.
 
We Baba Jay'rose, we cheka tuu, mwenzio Baba Jesca, anafanya kweli!.
P.
Katika wasaliti wa haki za binadamu, Uhuru wa habari, Pascal adhabu yako huko mbele ni kubwa. Utashitakiwa kwa kuhimiza uvunjifu wa haki za binadamu Tanzania kwa kutumia kalamu yako. Kama vile radio za Rwanda zilivyosaidia kueneza chuki na kusababisha mauaji ya halaiki
 
Yeye anajijua kuwa ni katili, muuaji etc. Tuliokuwepo enzi za Idd Amin, kauli zake zilikuwa hizi hizi.
Mda ni msemaji mzuri sana...ngoja tumpe mda lakini najiuliza mbona marais waliopita hawajawahi kutoa haya matamko kipindi chao.
 
Awaambie na wateule wake Mawaziri, wakuu wa mikoa na wilaya wasiwe na viburi na kuwakaripia watu imefikia hatua nowadays kiongozi unamuona km Shetani
 
Mimi nnaomba kuuliza ,hivi wapo Binadamu wanaozaliwa mpaka wana zeeka bado wanakuwa hawaji tambui !!?😎
Nina mashaka na hali ilivyo huko "upstairs" zake huyo Mzee
 
Kwani kuna Kwani kuna mtu kamwambia akimaliza muda wake hataenda kijijini?
 
Ww jamaa sijui una shida gani aisee! Ukabila,ushamba au nini?
Hivi Kikwete angefanya fitina ya kubadili katiba isingeliwezekana? Na ingewezekana Magufuli angepatikana vipi? Vivo hivyo Magufuli akibadili katiba maana yake kuna mtu bora zaidi yake anazuiwa kuingia.

Hulka ya watanzania sio ubishi ni unyenyekevu na kuawaamini wazazi,viongozi wao...tafadhalini sana msitumie hali hiyo vibaya.

 

Anajijua anacho na hii inamuuma sana

Mpaka anajiropokea tu
 
Sitaki kuamini ni kauli za kunyatia uchaguzi ukipita umwambafy palepale.danganya toto kwa pipi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…