pye Chang shen
JF-Expert Member
- Jul 11, 2016
- 11,422
- 6,108
Sasa mbona wewe unasemea watanzania kuwa hamumtaki? Au inatosha wewe na familia yako kumkataa ndio asiwe rais?Labda ww na familia yako ndio mnamtaka,pls Semea nafsi yako lkn sio ya waTz
Sent using Jamii Forums mobile app
We ata unafikiri anaaminika huyo, leo anaongea hiki kesho anaongea kingineRais Magufuli akiwa Korogwe Tanga amesema hayuko tayari kuendelea kuongoza baada ya miaka 10 iliyowekwa kikatiba. Ameyasema haya baada ya Mbunge wa Korogwe Vijijini, Steven Ngonyani (Prof. Maji Marefu) kusema Rais anastahili kuongezwa muda ilia afanye mambo mengi zaidi.
Its official kuwa Magufuli hataongeza muda wa kukaa kwenye kiti cha urais. Hii kauli imemaliza wasiwasi wa watu wote waliokuwa na speculation kuwa Rais anaweza kuongeza muda wa kukaa madarakani.
Huna akili ww wap niliposema watz hatumtaki,nilichoandika hapo ukimpenda ww na familia yako inatosha sio utusemee na ssSasa mbona wewe unasemea watanzania kuwa hamumtaki? Au inatosha wewe na familia yako kumkataa ndio asiwe rais?
Watanzania tutaandana kuibadilisha katiba, watanzania ndo wenye katiba hivyo tutaibadili. Kama ataendelea na spidi hii au ataiongeza zaidi, tutaibadilisha katiba kwa ajili yake tu kisha tutairejesha atakapotaka kupumzika.
Wewe ndio uendelee kuota. Hapa JPM tunae hadi 2025.. Na WaTanzania tukiweza kubadilisha katiba, ataongoza kwa miaka 20. JPM udumu baba miaka 100.Miaka kumi ipi anayoizungumzia?
Anadhani 2020 anapita? Aendelee kuota
Sent using Jamii Forums mobile app
Siyo iandae hiyo "addendum"! Andika ifanye lolote la" kisanii "ili haja ya nyoyo zenu zipate kutimizwa.Katiba sio biblia/quran...nashauri wizara ya katiba na sheria iandae addendum ili ipitishwe bunge lijalo...asanteni
Sent using Jamii Forums mobile app
Ifike mahali tuache huu upuuzi tena tuukemee kwa nguvu zote, mzahamzaha mwisho itakuwa kweliAkizindua stand mpya ya mabasi korongwe mkoani Tanga,Rais Magufuli ameweka wazi kikwazo kinachomzuia kutawala zaidi ya
"miaka kumi"
Yeye,kwa kutumia "mafumbo katika kuongea ameweka wazi na na kufikisha ujumbe na kutueleza
Watanzania kuwa
"anaheshimu sana katiba ya nchi" iliyowekwa na wananchi,na kwa maana hiyo Katiba ndiyo "kikwazo" kikubwa kinachomzuia kuwepo madarakani kwa mda mrefu,licha ya kuwa watanzania wanampenda
ila katiba ikibadilishwa yupo tayari kuwepo madarakani.!!
Ni dhahiri kuwa Rais magufuli,kwa mda mchache aliokaa madarakani(miaka miwili),ameonesha kuwa anaouwezo mkubwa wa kuifikisha Tanzania mahali salama kimaendeleo na katika uchumi na hali nzuri waitakayo watanzania.
.Hii inatokana na juhudi zake kubwa katika kulinda na kutetea rasilimali za nchi
kutokana na "mtukufu huyu kukubalika na kupendwa na watu
imepelekea hadi baadhi ya viongozi wakubwa nchini,Rais mstaafu,Mzee Mwinyi na wabunge mbalimbali na pia wananchi kutoka kila kona ya Tanzania kudai/kuomba Rais magufuli tumwongezee muda.
Kwa hili ningelipenda watanzania tuanzishe mchakato wa kubadili katiba ili Rais magufuli aweze kukaa madarakani kwa muda mrefu(zaidi ya miaka 10)
Rais ametuambia kuwa katiba ndiyo inamzuia kuwepo kwa kipindi kirefu licha ya yeye kuwa na ndoto za kuivusha tanzania.
sasa ni jukumu letu wananchi kuondoa hiki kikwazo ili rais wetu mpendwa aweze kuendelea kuwepo madarakani.
Watanzania wengi tumemwelewa na tumempenda ni Rais
Jasiri,mkweli na muwazi,anayetekeleza na kutenda watakavyo wananchi Pia sio fisadi wala mwenye tamaa na pesa kama wafanyavyo wengine kujilimbikizia mali wawapo madarakani
###Magufuli baki madarakani##
Sent using Jamii Forums mobile app
Akizindua stand mpya ya mabasi korongwe mkoani Tanga,Rais Magufuli ameweka wazi kikwazo kinachomzuia kutawala zaidi ya