Rais Magufuli: Nitaheshimu ukomo wa miaka 10 ya Urais kulingana na Katiba ya Tanzania

Rais Magufuli: Nitaheshimu ukomo wa miaka 10 ya Urais kulingana na Katiba ya Tanzania

Kumbe hiki kiti ni kitamu,si alisemaga anatamani hata mitano isifike aachie ngazi,Sasa imeongezeka tena ni kumi duh,huku ni kupatwa kwa mateso bila chuki
 
Rais Magufuli akiwa Korogwe Tanga amesema hayuko tayari kuendelea kuongoza baada ya miaka 10 iliyowekwa kikatiba. Ameyasema haya baada ya Mbunge wa Korogwe Vijijini, Steven Ngonyani (Prof. Maji Marefu) kusema Rais anastahili kuongezwa muda ilia afanye mambo mengi zaidi.

Its official kuwa Magufuli hataongeza muda wa kukaa kwenye kiti cha urais. Hii kauli imemaliza wasiwasi wa watu wote waliokuwa na speculation kuwa Rais anaweza kuongeza muda wa kukaa madarakani.

.
Kwa aina hii ya misimamo yako JPM naachaje kukuheshimu? Uungwana si unafiki kuwafanya watu wacheke hata wasipohitaji kucheka.Ombi langu kwako kabla ya miaka yako 10 kuisha hakikisha katiba ya Mh.J.S.Warioba inakamilika na kuanza kutekelezwa,vinginevyo tutapata mrithi wako atakayebomoa kila zuri ulilofanya.Usijiamini kupita kiasi wala usiwaamini wengine kufanana na wewe.Kama ulivyojifunza mengi kwa Nyerere ifunze pia na matokeo ya yaliyofanywa na aliowaamini sana.
 
That's Good Dr Magu. maana wenzio kwenye CCM wanaweweseka hawajapata kuona kama Nyerere!! ila una kazi maan umfunde na kumuweka sawa atakayekufuata!! nyerere alikosea!, tukayumba simsemi vibaya mzee mwingi lakini mh! , then mzee mkapa , then kikwete! ndio maan umeanza na kuziba viraka!! hujaanza kuleta mapya bado hayo next five yrs ya mwisho. Je Dr Magu nani mrith wako? ambaye hata kama uko kule geita ukisikia neno ukamsamon aje anatetemeka? hapo!! otherwise Good Job.
 
Hatakama asingesema, hawezi kujiongozea muda, hana ubavu huo!
Mkuu tema mate chini. Kama angetaka au angepata tamaa hiyo kwa nguvu za kidola na katiba yetu ya sasa ilivyompa nguvu akitaka kubadili katiba na kuongeza miaka zaidi anaweza iwe by hook or by crook angefanikiwa. Hayo mengine yote ni kujifurahisha na kujifariji tu.
 
Kama ana hulka za kidicteta aweza fanya lolote !!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Safi sana. Amewaumbua wapumb*&$# wengi waliojaa nchini!
Msisahau kuwa jamaa hakawii kugeuka maneno yake na kwa wwnao elewa mambo haya wanajua kuwa adha ya kutoka ikulu huwa ipo palea mbapo mda wa kukaa ikulu umekwisha na unahitajika uondoke kwa hiyari na ndipo hapo tutakapo amini kuwa kweli hawezi kukiuka katiba lakin si kwa sasa hayo ni maneno tu.
 
UTAJUAJE PENGINE HUKO TUENDAKO HAO WAPAMBE WANAOMZUNGUKA WATAFANYA MAREKEBISHO YA HII KATIBA YA SASA ILI KU-ACOMODATE WAZO LA YEYE KUONGEZEWA HUO MUDA.HILI LIKITOKEA,HATA AKIJIONGEZEA MUDA ATAKUWA HAJAVUNJA KATIBA.KAMA HILI LIKITOKEA, NITAFURAHIJEEE ! MUNGU IBARIKI TZANIA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
That's Good Dr Magu. maana wenzio kwenye CCM wanaweweseka hawajapata kuona kama Nyerere!! ila una kazi maan umfunde na kumuweka sawa atakayekufuata!! nyerere alikosea!, tukayumba simsemi vibaya mzee mwingi lakini mh! , then mzee mkapa , then kikwete! ndio maan umeanza na kuziba viraka!! hujaanza kuleta mapya bado hayo next five yrs ya mwisho. Je Dr Magu nani mrith wako? ambaye hata kama uko kule geita ukisikia neno ukamsamon aje anatetemeka? hapo!! otherwise Good Job.
Jaribu kuwa mwelewa, mrithi hachaguliwi na rais anayeondoka bali ni wanachi kwa njia ya kura, mambo yanaweza yakabadilika (Political Dynamics) usiamini na rais asije kwa namna hiyo uliyokariri. Zubaa hapo.
 
Bora kajibu hilo wale waliokuwa wanapiga blah blah, sijui nani abaki...mjadala umefungwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Rais Magufuli kajibu yeye, yeye siyo mtoa hoja. Maamuzi ya yeye kuongezewa muda SI YAKE, NI YA WAPIGA KURA wakishirikiana na Wabunge wao, mbona hamuelewi somo!? Ngoja nijaribu kuwaelimisha kwa mifano hai. Raia wa Rwanda waliamua kuondoa UKOMO wa muda uraisi nchini mwao kwania na lengo la kumpa muda wa kuongoza au kama ukipenda kutawala kipindi kingine Rais Kagame, yeye, Rais Kagame hakuwa na maamuzi on that. It was the people and their representatives SAY! Vivyo hivyo Uganda, ni watu au ukipenda wananchi au ukipenda wanachama awa chama cha rais au uongozi husika! Hawa ndio wana sema wanachotaka na kwa nguvu ya Wabunge au Wawakilishi wao, wanaanza mchakato kufikia azma yao. Rais au kiongozi anayelengwa, tena kwa nia nzuri, hana maamuzi katika hili. Yeye asubiri matokeo, kama alivyosubiri au anavyosubiri wakati wa UCHAGUZI period. Na pia nichukue fursa hii, kuwashauri watoa hoja katika suala hili, kuwa waondoe jazba na ushabiki wa kisiasa wakati wakijadili suala hili. Sikiliza hoja za kila mtoa haoja na wewe toa hoja yako, hoja ya nguvu, siyo kutoa matusi basi! Hoja yako au matusi yako ndiyo kipimo chako kwenye hili humu JF. Twende kazi.
 
Aibu ya Mzee Mwinyi,Maji Marefu na taka taka zote zilizokuwa zinapigia upatu nyongeza ya muda wa muhula by 2025!
Halafu yule ndezi wa OP ya BAKI MAGUFULI aweke tako lake chini...
2025 tunawaletea jembe lingine!
 
Rais Magufuli akiwa Korogwe Tanga amesema hayuko tayari kuendelea kuongoza baada ya miaka 10 iliyowekwa kikatiba. Ameyasema haya baada ya Mbunge wa Korogwe Vijijini, Steven Ngonyani (Prof. Maji Marefu) kusema Rais anastahili kuongezwa muda ilia afanye mambo mengi zaidi.

Its official kuwa Magufuli hataongeza muda wa kukaa kwenye kiti cha urais. Hii kauli imemaliza wasiwasi wa watu wote waliokuwa na speculation kuwa Rais anaweza kuongeza muda wa kukaa madarakani.

kwa jinsi Lissu anavyompelekesha, kuna kila dalili kuwa hata 2020 anaweza akaingia mitini!
 
Tuna Subiri Utekelezaji Wa Kauli.
Maana Huyu Mtu Si Wakumuamini
Hata Kidogo. Alisema Hatochagua
Wapinzani Katika Utawala Wake.
Lakini Hakumbuki Kauli Yake Sasa
Anateua Na Kuita Wengine Vilaza.
Naomba Post Hii Iwekwe Kwenye
Kumbukumbui Za JF.
Just A Matter Of Time.
Kumbuka wakati wa kutangazwa mshindi, ACT Wazalendo walimpa ilani yao ya uchaguzi. Maana yake ni nini?
Kwa tafsiri ya kienyeji, walimuafiki na kumwamini. Hivyo kuwaweka kwenye nafasi za uongozi wa utekelezaji ina maana kubwa zaidi ya hiyo unayofikiria!
Tujitafakari!
 
Back
Top Bottom