Rais Magufuli pitia upya mkataba wa KQ na Tanzania

Ni kwel lakin wanapeleka vitu vyao kisomi sio kama sisi wasomi wameweka akil zao kwenye vyet wanasifia ili wanufaishe matumbo yao na sio ya wanachi wanaowatumikia.
Mkuu kama upo Tanzania Fanya haraka uhamie kwa wasomi wenzio Kenya kule utafaidika sana
 
Dunian kote lazma kuwe na tajir na maskin ili mambo yaende. Hamnaga usawa. Sasa sisi tunamilik ardhi lakin mbona weng bado wanakaa kwenye slums tu
Wewe ni mkenya, yanavyokutoka si bure
 


Nauli inasababishwa na Kodi..
Inwezekana KQ ndo sababu hao wengine hawaji..

Baada ya kukosekana Kwa local airline strong kwenye soko KQ wameji position kama wao ndo local airline Kwa Tz Kwa safari za kutoka Europe na kwingineko..

Je mkataba uko hivyo!?Hawana figisu wanazofanya ku discourage others wabaki wao zaidi?..wachunguzwe
 
umeasha ambiwa Terminal 3 itapokea zaidi ya wasafili million 6 utawezaje kama hata watalii wanai ingia Tanzania hufikia kwanza Kenya kinachotaka kufanyika hapo nini kufanya unachoita utopolo kiwe na chanzo cha mashilika makubwa yaliyokuwa yame zika root kuja Tz kutokana na matakwa ya wateja kuja moja kwa moja Tz hiyo KQ okiendelea na route kwa wingi kama ilivyo kuwa awali itakua n vigumu kwa hilo kufanyika KINACHO FATA HAPO NIWAZI KUVUTA SOKO KIMATAIFA SIO KIKANDA.
NIVITU VIDOGO SANA HIVI KUELEA UKITUMIA AKILI NYINGI NA UJUAJI UTAPOTEA.
 
Lakin usisahau kwamba kenya wana watu wenyevwenye uelewa sio kama sisi tunaoburuzana tu
Akili za kushikiliwa hizo, wangekuwa wamesoma wasingeshikiliwa akili zao na mabeberu. Haiingii akilini wanaweka lockdown kwa kushurutishwa wakati wa usiku. Hiyo Covid-19 ilikuwa inawanga usiku tu? Khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Hiyo inakuwa ni misimamo ya nchi siyo ya magu, acheni kujitia ujinga. Hata akiondoka madarakani mboga na ugali vitaendelea kumwagwa tu..
 
Hizo mbona zilipendwa? Hadithi za zamani. KLM, Emirates, Quatar, Turkey Airways, Ethiopian Airlines, Lufthansa etc mbona zinakuja direct kutoka huko watokako? Rejea AITA protocal, Tanzania hatutishiki na kelele za mlango.
 
Lakin usisahau kwamba kenya wana watu wenyevwenye uelewa sio kama sisi tunaoburuzana tu
Uelewa gani huo,kuongozwa kikabila na kifamilia?,au kuuwana wakati wa uchaguzi.
 
Hizo mbona zilipendwa? Hadithi za zamani. KLM, Emirates, Quatar, Turkey Airways, Ethiopian Airlines, Lufthansa etc mbona zinakuja direct kutoka huko watokako? Rejea AITA protocal, Tanzania hatutishiki na kelele za mlango.
Shida una uliza ki2 kinacho kutenga ww mwenyewe. Jiulize kwann KQ ina route nyingi zaidi kuja TZ ? Bado soko la ukanda huu wa EAC wanalo mkononi na Tz inafanya kufanya mapiduzi na hizo n ndege 2 zinazo ingia tz bado gari za utalii zinazo vuka mipaka Amka ww.
 
Walijazwa ujinga na mabwenyenye ili waweze kutawaliwa kimamboleo,wajinga sana..wana maisha duni kuliko taifa lolote kusini Mwa sahara.
 
Tatizo mnakosoa ujinga! We unadhani ni sawa ndege zao zije afu za kwetu zisiende? Huo ujinga hata shetani hawezi fanya. Nyie wapingaji hebu mda mwingine mtumie akili kidogo!
 
Duh, hadi wewe? Basi Tanzania tutafika mbali
 
Wakenya wahuni sana. Hawajui Sasa Tz tumeamka. Ilikuwa enzi hizo, Sasa iv Tz ni kitu kingine. Tena wasijaribu si kwa vita vya kiuchumi tu hata vya msituni, majini na angani tunawanyoosha. Tz is one and we are proud of it.
 
Huna uwezo wa kumchomoa Rais Magufuli wewe pamoja na huyo mgonjwa Lissu Urais mtausikia tu. Ikulu yetu hatuwezi kuwapa wasaliti afadhali tutandikane risasi za kichwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…