Rais Magufuli pitia upya mkataba wa KQ na Tanzania

Huna uwezo wa kumchomoa Rais Magufuli wewe pamoja na huyo mgonjwa Lissu Urais mtausikia tu. Ikulu yetu hatuwezi kuwapa wasaliti afadhali tutandikane risasi za kichwa.

Wewe unaongea kwa niaba ya nani au wewe ni nani?
Unaposema bora tutandikane risasi za kichwa unamaana kuwa hakuna maana ya uchaguzi na ni kupoteza muda.
Kwa uchochezi huu wa KUCHAPANA RISASI ZA KICHWA nitashangaa kama MODS watakuacha bila kukuchapa ban walao mpaka baada ya uchaguzi ndio urudi hapa na ujinga huo.
cc: @maxence mello hawa ndio wanatuharibia. Jee upande wapili wakimjibu itakuwaje?
 
Peke yako na waoga wenzio
 
Huna uwezo wa kumchomoa Rais Magufuli wewe pamoja na huyo mgonjwa Lissu Urais mtausikia tu. Ikulu yetu hatuwezi kuwapa wasaliti afadhali tutandikane risasi za kichwa.
Fikra za kipichu..kufikiri urais ni kitu cha majaribio
 
Inamaana miaka yote mitano alikuwa anafanya nini? Kwenye mikutano hakwenda hivyo alikuwa na muda wa kutosha kabisa
Kwani hujaona kazi nzuri aliyoifanya ya Kuhamishia wapinzani kwenye Chama Tawala?

Alianza na hilo kwanza.
 
Wewe tuliza mshono kijana. Hayakuhusu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…