passioner255
JF-Expert Member
- Apr 22, 2019
- 6,192
- 11,897
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kimsingi hamkufunga chochote,kama mlifungia raia mlifungia na wa kwenu pia,ama huna taarifa kama kuna wakenya wanakuja tz pia!!!!Unamaanisha nini wewe? Kenya tulifunga mpaka ila kwa mizigo tu, viongozi wenu wakakurupuka na kuamrisha mpaka ufungwe kabisa (hata mizigo). Huoni jinsi mnatawaliwa na UJINGA? Kenya tulichofanya ni kubembeleza tuu. Tanzania mna behave kama demu yani hard to get, so ni lazima tuwasuke suke ki mpango.
Sasa huu ndio UJINGA ulio sheheni jumuiya ya muungano wa tanzania. Hamjui LOLOTE.kimsingi hamkufunga chochote,kama mlifungia raia mlifungia na wa kwenu pia,ama huna taarifa kama kuna wakenya wanakuja tz pia!!!!
bado nakuuliza wewe rais uhuru alikiwa na haja gani ya kutolea tamko hili swala!!!unaelewa maana ya rais kutamkia jambo fulani au hujui kitu??
nyinyi tuliishawaambia msidanganywe na ukenya wenu wa miaka ya 70 huko,kwa sasa hamna la kufanya zaidi ya kile tunachotaka sisi.
mmeamua kulinda raia wenu kwenye malori,vipi mabasi ya abiria!!!!huu utoto haueleweki.tena kujibiwa na ma rc ilikuwa ni heshima sana kwake,huyo ilitakiwa madereva waje wazipatie taarifa mpakani kwamba rudini kenya,apite mtz na raia wa nchi nyingine tu.
wenzenu wanaliwa viboga huko Malaba! Mbona media yenu imekaa kimya?Sasa huu ndio UJINGA ulio sheheni jumuiya ya muungano wa tanzania. Hamjui LOLOTE.
RAIS Kenyatta ilibidi atamke kwa sababu viongozi wenu walishindwa kuelewa msimamo wake. Alifunga mpaka kutokana na scientific reasons EXCEPT for cargo. Nyie mkakurupuka na kuzuia mizigo kupita. Mtafaruku ukatokea kwenye social media baina ya raia wa nchi zote mbili na hata kukatokea maongezi ya vita. Ki msingi RAIS Kenyatta alitaka kutuliza hali na kuendeleza biashara baina ya nchi zote AM. Na kwa hayo ashafaulu kwa sababu mmeamrisha wakuu wenu wakutane na wetu watatue mgogoro.
Tumeamua kulinda raia wetu na ndio maana mpaka ukafungwa kwa raia wa nchi zote isipokuwa mizigo.
Yaani nyinyi kinachowasumbua akili ni nini haswa? Kama nyie ndio kusema EA basi ni sawa hatuna shida 😂😂. Nyinyi semeni tuu.