YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Kenyatta alipo m bip Magufuli alitegemea apigiwe? Hivi hajawajua watanzania Hadi Leo? Mtanzania akinyamaza kimya sio mjinga akiinama yuko Kama kobe anatunga sheria akiinuaa kichwa Haki ya Mungu naapa atakachokulfanyia hutaaminiRais John pombe Magufuli leo amesema Rais wa Kenya Mheshimiwa Uhuru Kenyatta alimpigia simu na kumpa pole
Pia Rais Magufuli amesema kuwa wamezungumzia mgogoro ulipo mipakani mwa nchi hizi mbili na kuamua mawaziri wa pande zote mbili wanaohusika na Uchukuzi kukutana.
Kenyatta be careful with Tanzania keaders they are not stupid and illiterate as most Kenyans believe!!!!