Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,041
- 13,907
Nasema hivi mwaka huu usipopasuka shukuru muumba.Tatizo lako unarukia treni kwa mbele, mhusika anajua ninacho mfahamisha
In God we Trust
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nasema hivi mwaka huu usipopasuka shukuru muumba.Tatizo lako unarukia treni kwa mbele, mhusika anajua ninacho mfahamisha
In God we Trust
LOL wewe tulia wakati Rais wako analilia msamaha 😂😂😂kama unaamini kilaza kama jiwe unafaa upimwe akili wewe. kuingia Kenya lazima upimwe! hapo hatulegezi! kama unabisha njoo ujaribu kuingia
😂😂😂 Ninyi si huwa mnaishutumu serikali kwa kuficha taarifa?Kujikweza ni jadi yake
Nasema hivi mwaka huu usipopasuka shukuru muumba
Hakukaliki tena chato hahah😂😂😂 Ninyi si huwa mnaishutumu serikali kwa kuficha taarifa?
Au taarifa za aina hii zinawavua nguo?
Unajipoza tu....sindano yenye dawa ishakuingia💉💉💉💉💉Hakukaliki tena chato hahah
VizuriMuumba namshuru kila wakati
In God we Trust
Mimi hata usinimind nimetulia, wewe njoo mpakani uthubutu kuingia Kenya. tutapima hadi nyeti za mke wako! kama unabisha njoo.LOL wewe tulia wakati Rais wako analilia msamaha 😂😂😂
Kweli kabisa, unajua uhuru anamuogopa sana JPM, kama ni mtaalamu wa kusoma body language ukiangalia Ile video ya uhuru akiwa Chato alikua uncomfortable kabisa japo anataka mazoea na Magufuli kichizi This time alimtumia Odinga exactly kabla hata ya hili saga, Magu hakua na time nao wote this time 😅😅😅 mpaka Odinga kaenda kushtaki BBC ili tu kumalert incase wasaidizi wake hawakumpa taarifa, lakini Magu ndio kwaaanza hakua na time Sipati picha huo muweweseko wa Kenyatta, Magu alivyopokea simu yake 😅😅😅 na ndio maana hakuamini ikabidi apige upya kudhibitisha kama kweli hakua anaota 😆😆😆😆😆Na kabla ya kufungiwa mpaka Uhuru na Raila woote walikuwa busy kumtafuta! Usicheze hata kidogo na mwenye kukulisha na kukufanya uende choo!
Umepaniki ndugu😂😂😂😆mimi hata usinimind nimetulia, wewe njoo mpakani uthubutu kuingia Kenya. tutapima hadi nyeti za mke wako! kama unabisha njoo.
kuna nini cha kupanick hapa?? akili za kajamba wa ccm kama wewe ni fupi sana ndio maana unaweza kuamini upupu wa meko.Njoo mpakani ujaribu kuingia Kenya uone kama hatutakupima hadi akili.Umepaniki ndugu😂😂😂😆