prince john john
JF-Expert Member
- Aug 31, 2016
- 2,184
- 3,369
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila kumbe huyu anapendwa.Naona wakenya hawako nyuma liveView attachment 1454966View attachment 1454967
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi lipo LIVE au ndio wapo LIVE na maneno ya Rais kuwaambia dereva wake hana Corona...[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Rais John pombe Magufuli leo amesema Rais wa Kenya Mheshimiwa Uhuru Kenyatta alimpigia simu na kumpa pole
Pia Rais Magufuli amesema kuwa wamezungumzia mgogoro ulipo mipakani mwa nchi hizi mbili na kuamua mawaziri wa pande zote mbili wanaohusika na Uchukuzi kukutana.
umekasirika sana, pole kwa maumivuhahaha mataga bana, kwa hiyo hizo comments za mataga wenzako ndiyo zimekukoosha mwenyewe 🤣 🤣
comrade usikose party ya kuizika korona itafanyika Dar this sunday, mgeni rasmi yupo njiani anaelekea eneo la tukio.umekasirika sana, pole kwa maumivu
Ungemuuliza kama yeye anavyojipendekeza kwa Mbowe,anataka ateuliwe viti maalumu?Ndio huwa mnadanganywa!!
Mwaka huu mtapasuka kabisa
Ndio huwa mnadanganywa!!
Acha ujinga, wanafanya tafiti wakaona CORONA ya Kenya inasambaa usiku tu [emoji23][emoji23][emoji23]Njaa haina adabu aise. Hata hivyo Kenya lockdown ni usiku tu sijui nani aliwaambia kuwa virus wanasambaa usiku tu
Sent using Jamii Forums mobile app
comrade usikose party ya kuizika korona itafanyika Dar this sunday, mgeni rasmi yupo njiani anaelekea eneo la tukio.
Unajua unacho andika?kenyata ndo kapiga cm kuomba poo kwa magu.alafu magu kawatupia watendaji wake kama kabudi na ma rc,ambao kwa sasa wapo bize mpaka baada ya wiki nne,
kwa hiyo wakenya mtakaa na njaa mpaka baada ya mwezi hivi,
kwa sasa kuleni panzi na mirungi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Rais Magufuli akiwa njiani toka Chato leo mchana alisimama akiwa Singida na kuzungumza na wananchi na kudokeza kwamba rais wa Kenya Uhuru Kenyatta anempigia simu akiwa Chato Mara mbili na kumuoma wayamalize kwa amani matatizo ya mpakani yaliyosababishwa na Kenya kufunga mipaka.
Tulikwisha sema kwamba Kenya lazima wataomba msamaha mwisho wa siku. Tanzania ni baba lao mbele ya Kenya. Povu ruksa.
Sent using Jamii Forums mobile app