Rais Magufuli: Rais Kenyatta alinipigia simu, tulizungumzia mgogoro uliopo mipakani

Rais Magufuli: Rais Kenyatta alinipigia simu, tulizungumzia mgogoro uliopo mipakani

Unajua maana ya maneno busara na ustaraabu? Uhuru anayo busara na mstaarabu. Siyo wale small nothings tumeshuhudia wanajipiga vifua border.
Kwanini asimgetumia hiyo busara kwa kumtafuta Magufuli kabla ya kufunga mpaka?, Kenya viongozi wenu hawana akili kama mlivyowakenya wengi, unaona jinsi anavyojidhalilisha kwa kuomba msamaha?,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I can assure you nothing much will change, we aren't compromising the health of Kenyans. Lazima shughuli ya kupima na kuwarudisha wote walio na Corona itaendelea.
 
Ndio Alijua bado ni JK
Kenyatta kazungukukwa na washauri mafisadi walimshauri funga mpaka wauze vyakula bei juu wasumbue wakenya ushauri wote Wa Lockdown nk ukikuwa w washauri mafisadi wanaotaka kupiga pesa kwa kisingizio cha corona .Anyway raisi Kenyatta MTU poa nimeshawahi kutana naye break pointi kabka kuwa raisi akijurusha kila weekend

marafiki zake wengi watanzania Magufuli sisemi ulegeze msimamo yeye ndie alegeze kwake arudi kwenye drawing table kwake sisi watanzania hasa CCM ni ndugu ndio maana hata dreva Wa Lori akinyanyasika nje ya nchi tunasimama naye tofauti na Kenya ,Rwanda nk we value our drivers so much Kenya,Rwanda,Zambia etc don't underestimate them and treat them like dogs Sisi watanzania ni ndugu if you don't value your truck drivers it is you not Tanzanians
 
I can assure you nothing much will change ,we aren't compromising the health of Kenyans ...Lazima shughuli ya kupima na kuwarudisha wote walio na Corona itaendelea .
Poa tu who cares mizigo haitaenda Kenya tunajikomba nini kwao to hell with them kila MTU apambane na hali yake iwe corona, njaa au chochote.
 
Kweli kabisa, unajua uhuru anamuogopa sana JPM, kama ni mtaalamu wa kusoma body language ukiangalia Ile video ya uhuru akiwa Chato alikua uncomfortable kabisa japo anataka mazoea na Magufuli kichizi This time alimtumia Odinga exactly kabla hata ya hili saga, Magu hakua na time nao wote this time [emoji28][emoji28][emoji28] mpaka Odinga kaenda kushtaki BBC ili tu kumalert incase wasaidizi wake hawakumpa taarifa, lakini Magu ndio kwaaanza hakua na time Sipati picha huo muweweseko wa Kenyatta, Magu alivyopokea simu yake [emoji28][emoji28][emoji28] na ndio maana hakuamini ikabidi apige upya kudhibitisha kama kweli hakua anaota [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Hahaha. Kuna watu ni mafala sana. " eti hakuamini ikabidi apige tena"

God save us
 
Tumesha achana na hizo mambo muda siku hizi tunakunywa asas milk, azam milk, tanga fresh, milkcom na ya kukamuwa wenyewe.
Aah! Wapi Mkuu wewe hujui Mambo yanavyoendeshwa...sio lazima jina liambatane na lile ulijualo. I come from a capitalist society najua Mambo yanavyoendeshwa 😉
 
Lazima shughuli ya kupima itaendelea Kenyans can't afford to import Corona from Tanzania .
Your leaders have been careless and Kenyans can't suffer from their mistakes .
wewe mbuzi,hakuna ambaye amesema watu wasipimwe.

unadhani uhuru alikuwa na sababu yoyote ya kutoa tamko la kufunga mpaka!!!alitakiwa aongeze vifaa vya kupimia tu,ili zoezi liende haraka na kutoathiri shughuli nyingine.

halafu awasiliane na JPM kuhusu idadi kubwa ya waathirika,hali isingefikia huku.but
kwavile lengo lilikuwa lingine na tumeshtuka tukaminya korodani zenu,ndio maana mnapumua kama punda zinapanda mlima na mzigo.
 
Unajua maana ya maneno busara na ustaraabu? Uhuru anayo busara na mstaarabu. Siyo wale small nothings tumeshuhudia wanajipiga vifua border.
Angekua na busara asingekimbilia kufunga mpaka,halafu anapigia watu simu kuomba waongee
Ramaphosa alitumia simu ipi?mbona za wengine zinapokelewa?
 
Kha! WaTanzania!! Hivi ni uelewa wenu ndio mdogo ama namna gani? Nani kaomba msamaha? Pombe amesema alipigiwa na Kenyatta akapewa pole juu ya CORONA, wakakubaliana kutatua mgogoro mpakani.

Hadi leo bado mpaka UMEFUNGWA isipokuwa magari ya mizigo. Pili, madereva wote wanaoingia Kenya ni sharti wapimwe. Inaonyesha kuwa Kenya bado tumeshikilia msimamo wetu.

😂😂😂 ati Kenya inaomba msamaha. Msamaha wa nini? 😹😹😹
 
Ndioo ,tumefunga tu mkaanza kuliakulia nyie mbona mlipofunga kwenu hakuna kiongozi wa tZ aliyeongea sisi kubana kidogo tu mpka kenyata akapiga simu.
Kha! WaTanzania!! Hivi ni uelewa wenu ndio mdogo ama namna gani? Nani kaomba msamaha? Pombe amesema alipigiwa na Kenyatta akapewa pole juu ya CORONA, wakakubaliana kutatua mgogoro mpakani.

Hadi leo bado mpaka UMEFUNGWA isipokuwa magari ya mizigo. Pili, madereva wote wanaoingia Kenya ni sharti wapimwe. Inaonyesha kuwa Kenya bado tumeshikilia msimamo wetu.

[emoji23][emoji23][emoji23] ati Kenya inaomba msamaha. Msamaha wa nini? [emoji81][emoji81][emoji81]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndioo ,tumefunga tu mkaanza kuliakulia nyie mbona mlipofunga kwenu hakuna kiongozi wa tZ aliyeongea sisi kubana kidogo tu mpka kenyata akapiga simu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unamaanisha nini wewe? Kenya tulifunga mpaka ila kwa mizigo tu, viongozi wenu wakakurupuka na kuamrisha mpaka ufungwe kabisa (hata mizigo). Huoni jinsi mnatawaliwa na UJINGA? Kenya tulichofanya ni kubembeleza tuu. Tanzania mna behave kama demu yani hard to get, so ni lazima tuwasuke suke ki mpango.
 
Ila sijawahi kuwaona watu wenye upeo mdogo kama wakenya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom