Rais Magufuli, samahani mimi sijakuelewa kuhusu COVID-19 tests...

Kwenye swala la Corona acheni ujinga mwingi,wala usifikiri sana juu ya alichosema Rais iwapo hukubali, isipokua fanya uchunguzi wako binafsi tu utagundua Corona imekaa kisanii hata kama janga lipo,binafsi nimetafakari sana hata kabla ya Rais hajasema haya leo (unaweza thibitisha kwa kuangali comment zangu humu). Ukweli ni kwamba ugonjwa upo,lakini hautuwezi waTanzania kiivyo kama maneno mengi ya watu yalivyo jaa,fanya uhakiki wa wewe mwenyewe na ndugu zako,majirani zako,marafiki zako mikoani kote, utakuta hakuna hata mmoja ameondoka na Corona,maneno yaliyojaa mitandaoni lazima yatakua ni ya wana siasa wenye uchu wa mamlaka wakipewa vihela na makaburu kuweka taharuki na kujaribu kitujengea ugonjwa mwingine wa hofu,swala ni dogo tu,mitaani kwetu vifo vya hiyo Corona viko wapi? Tusilazimishe jaribu la wazungu liwe letu kwa kukubali mshituko wao kwa 100% hii ni mbaya,sisi wenyewe waafrika tuna jaribu letu ambalo wao wazungu hawana na hatuwezi kuwalazimisha wabebe mizigo yetu kama umasikini na majanga mengi tu,sasa kwa nini sisi tubebe jaribu lao? Ukweli hakuna vifo zaidi ya vile vilivyo tangazwa tena na vyenyewe vimewapata watu waliokua na magonjwa mengine,msitutishe kama vipi hameni nchi au dunia hii kwenda mnakoona kutakua salama kwenu. Sisi wengine tumesha gundua janga hili kwetu limedunda,ila tuna janga la Malaria,Cancer,magonjwa ya moyo na umasikini tu. Kwisha, kama hutaki pita hivi[emoji117]
JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
 
Inawezekana kabisa Tanzania hakuna corona ni mabeberu tu wanataka kutuaminisha kuna corona...hata hawa wanaopata changamoto za kupuma ni mabeberu ndio wanasababisha
Nilivyomwelewa, japo sikubaliani naye ni kwamba kwa utafiti wao wa kupima mapapai, mafenesi, mbuzi, kitimoto , oil nk. Maabara zetu vipimo vyake vinadanganya! Kwa hiyo anaamini hatuna wagonjwa wengi, wapo kiduchu tu kwani kama mafenesi yametest positive kuna uwezekano wa wasio na virus nao kuonekana wanavyo!!!!


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama hiyo avatar ni wewe basi nakuombea korona isikuje kwako [emoji4][emoji4][emoji4]
Mimi natake measures zote kama Magufuli anavyofanya binafsi. Kanisani siendi. Sitoki hovyo hovyo. Hapa kwangu sitaki wageni kabisa.Mimi najikinga na ninamuomba Mungu anilinde pia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi natake measures zote kama Magufuli anavyofanya binafsi. Kanisani siendi. Sitoki hovyo hovyo. Hapa kwangu sitaki wageni kabisa.Mimi najikinga na ninamuomba Mungu anilinde pia.
πŸ˜› πŸ˜› mimi huku niliko nimewekwa lock-down kabisa, nikirudi huko bongo lazma nikutafte
 
Jamani hilo la hivyo vifaa hasa from China hata nchi zingine zilizoendelea na zenyewe zilionesha kwamba only 30% ya vifaa kutoka China ndio vilikua bora but 70% vilikua feki so binafsi wala sikushangaa cause hizo fununu zilikuwepo even before hatuja confirm
 
Na wewe hujamuelewa mh, mwanzo alisema kaugonjwa ni kadogo wewe unasema ugonjwa ni hatari
 

Huwezi muelewa unless uwe umesomea psychiatric studies
 
Rais ni kama sisi tunavyowahiana kupost. Akaona apost fasta kupata likes
 
Taratibu nzuri za kimaabara za ku- confirm results za maabara no kuvhukua retained sample na ku-test kwenye maabara nyingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…