G'taxi
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 6,625
- 8,639
Kwenye swala la Corona acheni ujinga mwingi,wala usifikiri sana juu ya alichosema Rais iwapo hukubali, isipokua fanya uchunguzi wako binafsi tu utagundua Corona imekaa kisanii hata kama janga lipo,binafsi nimetafakari sana hata kabla ya Rais hajasema haya leo (unaweza thibitisha kwa kuangali comment zangu humu). Ukweli ni kwamba ugonjwa upo,lakini hautuwezi waTanzania kiivyo kama maneno mengi ya watu yalivyo jaa,fanya uhakiki wa wewe mwenyewe na ndugu zako,majirani zako,marafiki zako mikoani kote, utakuta hakuna hata mmoja ameondoka na Corona,maneno yaliyojaa mitandaoni lazima yatakua ni ya wana siasa wenye uchu wa mamlaka wakipewa vihela na makaburu kuweka taharuki na kujaribu kitujengea ugonjwa mwingine wa hofu,swala ni dogo tu,mitaani kwetu vifo vya hiyo Corona viko wapi? Tusilazimishe jaribu la wazungu liwe letu kwa kukubali mshituko wao kwa 100% hii ni mbaya,sisi wenyewe waafrika tuna jaribu letu ambalo wao wazungu hawana na hatuwezi kuwalazimisha wabebe mizigo yetu kama umasikini na majanga mengi tu,sasa kwa nini sisi tubebe jaribu lao? Ukweli hakuna vifo zaidi ya vile vilivyo tangazwa tena na vyenyewe vimewapata watu waliokua na magonjwa mengine,msitutishe kama vipi hameni nchi au dunia hii kwenda mnakoona kutakua salama kwenu. Sisi wengine tumesha gundua janga hili kwetu limedunda,ila tuna janga la Malaria,Cancer,magonjwa ya moyo na umasikini tu. Kwisha, kama hutaki pita hivi[emoji117]
JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
Mh Rais sisi Watanzania pamoja na unyonge wetu nakuku amini kama Rais wetu kiukweli hatukuelewi na mimi sitaki kuwa mnafiki napenda niweke kumbukumbu sio kubishana na mwalim hapana ila kumwambia mwalim sijakuelewa.
Leo umesema mlipeleka sample za mbuz?, oil,mafenesi na mapapai na vilileta majibu + nikorona.
Mh Rais what if wapimaji hawakuwa makini nakitokana na sampul nyingi wakaleta result hiyo?
Pili kama kweli unayoyasema sisi hatupo kwenye kisiwa Kwanini usiwaite who waje Tanzania washuhudie huwo udanganyifu wa mabeberu,?
Mh unatukumbusha zama zile za mwal alipozuwia tv na yeye akajifungia ndani na satelite yake akiona dunia inaendaje nakuja tusimulia. Zama zimebadilika taifa lina watu wana akili kiasi zinamwagika kutupa maneno yajumla jumla while hatujuw kesho yetu nihatari kwa ustawi wa taifa letu na usalama pia.
Ulisema watu wajifukize lakini ili kukiuwa kirus cha covid unaitaj joto linalo fikia 56-58c je kuna mwanadam anaweza kujifukiza mpaka kwenye hicho kiwango wakati joto lamwanadam tu halizid 37cent. Hivi kweli unajuwa madhara ya hotuba zako kama Rais na mwisho wake.
Wewe ndio rais wetu ila wewe sio Dr wala sio mwanasheria wala bunge. Why kuongelea watu wengine nakuwaacha ktk mkwamo bila majibu? Sasa wafanyeje?
ima maana kwa kauli yako mask na vipimo vyote fake so what is alternative2.
Mkuu wangu na mzee wangu zitafakari kauli zako. Unatuathiri sana kamaRaia kisaikolojia. Je tumsikilize nani?
JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature