Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamesema Wapinzani wataendelea kuisoma Namba!Mzee Mgaya na mchungaji Erasto wao wanasemaje kwenye mambo ya ukabila?
Wamesema Wapinzani wataendelea kuisoma Namba!
Walikuwa kwenye Banda la rip Bob Makani mtaa wa Ufipa!Mlikuwa nyumbani kwa mzee Mgaya au kwa mchungaji Erasto wakati wakisema hayo?
Walikuwa kwenye Banda la rip Bob Makani mtaa wa Ufipa!
Walikaa kwenye visturi alivyoviacha Dr Slaa pale kwa JJ Mnyika wa kijani!Daaaa, kweli mzee Mgaya na mchungaji Erasto nawakubali, hivyo wakaenda kabisa hapo ufipa, walikaa nje au waliingia ndani?
Walikaa kwenye visturi alivyoviacha Dr Slaa pale kwa JJ Mnyika wa kijani!
Dogo! Tulia dawa ikuingie vizuri waliokutuma waambie wasirudie tena! Eti mi Mwanamke, mpuuzi kweli wewe! Si unapenda ligi?Wewe mwanamke unatafuta ndoa ya lazima , Sina muda wa kuoa wanawake wenye akili ya kupima kwenye mzani
Nasema tena akili za kiBAVICHA siku nyingine uwe unakumbuka kuziacha ufipa unapokuja na Jambo linalohitaji watu wenye akili timamu wajadiliDogo! Tulia dawa ikuingie vizuri waliokutuma waambie wasirudie tena! Eti mi Mwanamke, mpuuzi kweli wewe! Si unapenda ligi?
mnafiki mkubwa kama maneno hayo yanatoka mayoni anashindwa nini kufuta uchaguzi wa serikali za mitaa ulio pita na kurudiwa upya ili watanzania wachaguwe viogozi wanao wataka kwa kuwa wote ni watanzania.Rais Magufuli amewataka watanzania wapendane na kuacha kubaguana kwa misingi ya ukabila, dini au itikadi za kisiasa.
Dr Magufuli ameyasema hayo wakati akiweka jiwe la msingi la ujenzi wa daraja la Kigongo - Busisi jimboni Misungwi mkoani Mwanza.
Kadhalika Rais Magufuli amewapongeza wanaccm wa Misungwi kwa ushindi mkubwa walioupata kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa na kuwaambia Wapinzani wataendelea kuisoma namba.
Source ITV
Maendeleo hayana vyama
Hahaahah dogo you are messing with a very wrong person!Nasema tena akili za kiBAVICHA siku nyingine uwe unakumbuka kuziacha ufipa unapokuja na Jambo linalohitaji watu wenye akili timamu wajadili
Inabidi Serikali iubane uongozi wa JF ili account zote ziwe verified ili tuthibishe Mimi na wewe Nani Anastahili kumuita mwenzake dogo. Inawezekana nachati na mwanangu ,kwa sababu katiwa kiburi na ID fake anapata ujasiri huuHahaahah dogo you are messing with a very wrong person!
Ujasiri ulionao ni kutokana na ID fake ,omba sana Serikali isilazimishe uongozi wa JF usiweke account verifiedHahaahah dogo you are messing with a very wrong person!
Mpumbavu kweli wewe! Kwahio itakusaidiaje? Ujasiri gani unaozungumzia?Ujasiri ulionao ni kutokana na ID fake ,omba sana Serikali isilazimishe uongozi wa JF usiweke account verified
Wewe hata utukane Nini siwezi kukujibu kwa tusi lolote, matusi ni asili yenu BAVICHA ,siwezi kuacha asili yangu ya kupangua hoja na viojaMpumbavu kweli wewe! Kwahio itakusaidiaje? Ujasiri gani unaozungumzia?
Kwanza ,itasaidia Maxene Melo kutokwenda mahakamani Mara kwa Mara.Mpumbavu kweli wewe! Kwahio itakusaidiaje? Ujasiri gani unaozungumzia?