Rais Magufuli: Sisi watanzania ni Wamoja tusibaguane kwa makabila, dini na siasa awapongeza CCM na kusema Wapinzani wanaisoma namba

Rais Magufuli: Sisi watanzania ni Wamoja tusibaguane kwa makabila, dini na siasa awapongeza CCM na kusema Wapinzani wanaisoma namba

Daaaa, kweli mzee Mgaya na mchungaji Erasto nawakubali, hivyo wakaenda kabisa hapo ufipa, walikaa nje au waliingia ndani?
Walikaa kwenye visturi alivyoviacha Dr Slaa pale kwa JJ Mnyika wa kijani!
 
Walikaa kwenye visturi alivyoviacha Dr Slaa pale kwa JJ Mnyika wa kijani!

Basi wana upendo sana, je wao ni wanachama wa chama gani hapa nchini? Usinichoke samahani nataka kujua wasifu wa hao watanzania maarufu tafadhali.
 
chuki yeye ndio baba asikimbie kaz yake yakuharibu umoja wakitaifa
 
Wewe mwanamke unatafuta ndoa ya lazima , Sina muda wa kuoa wanawake wenye akili ya kupima kwenye mzani
Dogo! Tulia dawa ikuingie vizuri waliokutuma waambie wasirudie tena! Eti mi Mwanamke, mpuuzi kweli wewe! Si unapenda ligi?
 
Nyuzi nyingine! Basi tu. Yaani mtu siasa za ushindani haziwezi! Kujenga hoja hajui! Halafu anajisifu kwa ushindi hewa, yaani uporaji wa uchaguzi kishamba kwa watu kukimbia ofisi na vituko vingine vya kitoto ni jambo la kujisifu? Kujivunia? Waafrika tunatia aibu sana.
 
Dogo! Tulia dawa ikuingie vizuri waliokutuma waambie wasirudie tena! Eti mi Mwanamke, mpuuzi kweli wewe! Si unapenda ligi?
Nasema tena akili za kiBAVICHA siku nyingine uwe unakumbuka kuziacha ufipa unapokuja na Jambo linalohitaji watu wenye akili timamu wajadili
 
Rais Magufuli amewataka watanzania wapendane na kuacha kubaguana kwa misingi ya ukabila, dini au itikadi za kisiasa.

Dr Magufuli ameyasema hayo wakati akiweka jiwe la msingi la ujenzi wa daraja la Kigongo - Busisi jimboni Misungwi mkoani Mwanza.

Kadhalika Rais Magufuli amewapongeza wanaccm wa Misungwi kwa ushindi mkubwa walioupata kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa na kuwaambia Wapinzani wataendelea kuisoma namba.

Source ITV

Maendeleo hayana vyama
mnafiki mkubwa kama maneno hayo yanatoka mayoni anashindwa nini kufuta uchaguzi wa serikali za mitaa ulio pita na kurudiwa upya ili watanzania wachaguwe viogozi wanao wataka kwa kuwa wote ni watanzania.
 
Leo nilibahatika kuwepo kwenye moja ya maeneo aliyosimama kuwasalimia anaowaita wananchi! Nilichokiona kinasikitisha. Kuna upendeleo wa wazi kabisa kwa hii kanda.

Mfano ni lugha anazotumia kwenye mikutano. Kama ni mtanzania mzalendo kweli, najiuliza, mbona anaongea kisukuma saana huku kanda ya ziwa aliko na hivyo vipaza sauti vyake vya kujisifia! Tusiojua kisukuma tumweleweje?

Naona si mbali sana, tutaambiwa kisukuma ni mojawapo ya lugha za taifa hili.

Time will tell
 
Hahaahah dogo you are messing with a very wrong person!
Inabidi Serikali iubane uongozi wa JF ili account zote ziwe verified ili tuthibishe Mimi na wewe Nani Anastahili kumuita mwenzake dogo. Inawezekana nachati na mwanangu ,kwa sababu katiwa kiburi na ID fake anapata ujasiri huu
 
Mpumbavu kweli wewe! Kwahio itakusaidiaje? Ujasiri gani unaozungumzia?
Wewe hata utukane Nini siwezi kukujibu kwa tusi lolote, matusi ni asili yenu BAVICHA ,siwezi kuacha asili yangu ya kupangua hoja na vioja
 
Mpumbavu kweli wewe! Kwahio itakusaidiaje? Ujasiri gani unaozungumzia?
Kwanza ,itasaidia Maxene Melo kutokwenda mahakamani Mara kwa Mara.

Pili, itasaidia matusi na hoja mseto kupotea

Tatu, inasaidia kuleta heshima hapa jukwaani na wote waliokuwa wanatukana kwa kutegemea hawajulikani watajulakana
 
Back
Top Bottom