Rais Magufuli: Sisi watanzania ni Wamoja tusibaguane kwa makabila, dini na siasa awapongeza CCM na kusema Wapinzani wanaisoma namba

Kwanza ,itasaidia Maxene Melo kutokwenda mahakamani Mara kwa Mara.

Pili, itasaidia matusi na hoja mseto kupotea

Tatu, inasaidia kuleta heshima hapa jukwaani na wote waliokuwa wanatukana kwa kutegemea hawajulikani watajulakana
Hahahahaha too low
 

Yeye ndo muasisi wa ukabila ukanda na udini
 
Contradictory statement!

Washangiliaji wa hizi statement endeleeni tu muda si mrefu yatatukuta ya Rwanda Burundi Kenya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…