LIMBOMAMBOMA
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 10,482
- 14,007
Kila kitu kanda ya ziwa...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahaha too lowKwanza ,itasaidia Maxene Melo kutokwenda mahakamani Mara kwa Mara.
Pili, itasaidia matusi na hoja mseto kupotea
Tatu, inasaidia kuleta heshima hapa jukwaani na wote waliokuwa wanatukana kwa kutegemea hawajulikani watajulakana
Rais Magufuli amewataka watanzania wapendane na kuacha kubaguana kwa misingi ya ukabila, dini au itikadi za kisiasa.
Dr Magufuli ameyasema hayo wakati akiweka jiwe la msingi la ujenzi wa daraja la Kigongo - Busisi jimboni Misungwi mkoani Mwanza.
Kadhalika Rais Magufuli amewapongeza wanaccm wa Misungwi kwa ushindi mkubwa walioupata kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa na kuwaambia Wapinzani wataendelea kuisoma namba.
Source ITV
Maendeleo hayana vyama
chuki yeye ndio baba asikimbie kaz yake yakuharibu umoja wakitaifa