Rais Magufuli: Sitasomesha Wanafunzi waliopata ujauzito, siwezi kusomesha Wazazi

Rais Magufuli: Sitasomesha Wanafunzi waliopata ujauzito, siwezi kusomesha Wazazi

Na uko pwani hawapendi shule kabisa kutwa vigodoro na ngoma ....akina mwajuma ashura na mwanaidi ndo wahusika wakuu ...
 
Mashoga na wanaobaka vibinti vya shule ndiyo wanachukia hatua zote hizi anazozichukua rais Dr. Magufuli.

Ila mwanaume, aliyetimamu na anakula "K" ya mwanamke aliyetimiza umri wa kuolewa na asiye mwanafunzi wa shule za sekondari na za msingi hana tatizo kabisa na kauli kama hiyo.

wana jamvi hili swala la ushoga na usagaji lipo na lilikuepo miaka mingi saana ila kwavile tunaishi katika unafiki uliokubuhu tunajifanya kua tatizo hili linaletwa na wazungu, hayo mambo ya biological disorder yapo na hayaja anza leo wala jana, ukitaka kuutibu ugonjwa kwanza kabisa lazima uukubali kua upo then kitakachofuata ni kuutafutia tiba......

mimi kuna kipindi nilikua naishi nchi fulani na nikagundua kua mashoga na wasagaji wapo na pia kiakili ukimchukulia msagaji kama mwanamke wa kawaida unakosea kwakua hisia zao hazipo uko.....

tutaendelea kujifanya tunakemea na kupinga machoni pa wengi ila sirini hao mashoga wanafuatwa na baadhi ya wanaume rijali kamili ambao wanajulikana kama mabasha au ma top gays na kufanya nao kisirisiri tena tunasikia na wengine ni viongozi wakubwa katika taasisi za kidini na serikali....nachoona hapa kinachostahili kufanyika ni kufanya tafiti za kina ili kujua chanzo cha tatizo hilo na kulitafutia ufumbuzi tena kwa njia za busara....

kijana mmoja baada ya baba yake kugundua kua ni shoga alimtisha tisha sana na kusema atamuua, yule kijana alimwambia kua anajuta kuzaliwa na jinsia ya kiume wakati akiwa na hisia za kike na mwisho wa siku alijiua...

tuacheni unafiki wa kulikataa tatizo ambalo lipo miaka mingi hapa duniani.
 
kwa mtamo wangu lakin anacctiza mwanafunzi kutokupata mimba.ujue kweli akilegeza uzi wanafunzi watapigwa sana pachuti
 
Mwanafunzi wa shule ya msingi na sekondari akipata mimba ni big issue, lakini mwanafunzi huyohuyo akiwa certificate ujauzito kwake sio ishu!

Nilitegemea mtu mwenye mtazamo wa kuleta mabadiliko na mapinduzi ya viwanda angetilia mkazo sana suala la elimu, kwa kuwawekea utaratibu mzuri kwa kila asiyebahatika kuipata elimu kutokana na sababu za hapa na pale.

Nadharia ya elimu na jinsia ni mjadala mpana sana usioisha ndani ya mfumo wa kidemokrasia. Athari ya mjadala huu ni kuibuka harakati nyingi za kijinsia, huku zote zikiwa zimeegemea upande mmoja wa jinsia kana kwamba jinsia hiyo ni dhaifu kuliko nyingine.

Kihakika mjadala huu ni mjadala usiohitaji maneno ya mkato,bali inahitajika utafiti mkubwa ambao utakuja na majibu na suluhisho la kudumu dhidi ya umasikini , ujinga, mimba za utotoni na zinaa.
 
Inauma mzazi anapomwona binti yake amepata ujauzito shuleni tena katika umri mdogo.......
Inauma sana pia mzazi anapoona binti yake kakosa fursa ya kuendelea na masomo kwa sababu alipata ujauzito akiwa shule.

HAPA kuna tatizo. Jambo la msingi ni jamii kutafuta mwarobaini wa tatizo hili. Tukizembea mimba zitakuwa jambo la kawaida mashuleni. Hata walimu si wote wanaofurahia kuwafundisha wanafunzi wanaowachukulia kama watoto wao kuona wana mimba darasani.

Tafakari; Tunaposema waendelee na shule tutafakari kuwa ni mwanafunzi wa darasa gani ayaonekana ni kawaida kushika ujauzito na yupi ni maajabu au balaa kwake?? Na hawa waliokumbwa na kadhia hii tunawapeleka wapi baada ya kukosa fursa ya Elimu?? Kwangu yote magumu.......

Ila jamii na viongozi wanalo jukumu kuungana katika kuwanusuru binti zetu na tatizo hilo
 
Kama kweli kasema hivyo basi kapotoka sana na sikubaliani naye kabisa.

Mwanafunzi wa kike kupata ujauzito siyo kosa kubwa hivyo hadi anyimwe fursa ya kujiendeleza kielimu.

Hapo adhabu haiendani kabisa na kosa!
Hiyo siyo adhabu Bali ni matokeo ya tamaa zake malezi mabaya!
Kama kabakwa anaweza kuomba kibali cha mahakama cha abortion!
 
Yes mkuu Prospilla,tujadili kwa facts politics tuache pembeni ,ni kweli kuwa idadi za mimba zimepungua mashuleni?maana uelewe sheria hii ipo toka awamu ya kwanza ya utawala wa nchi yetu,yes faida ni kubwa hawa wasichana ambao wengi wamepata hizi mimba kutokana zaidi ya mazingira ya kimasikini uaozikabili familia nyingi nchini,because they will get a second chance to remedy their future,elewa unasomesha mwanamke umesomesha taifa,kweli sielewi nini kinawatokea hawa watu ambao si wanafunzi wanaowapa mimba wanafunzi,mimi ninawaona kwao its life as usual
 
Ameyasema hayo leo wakati akizindua barabara ya Bagamoyo - Msata. Amesema tuwe macho na NGO zenye lengo la kutuharibia maadili yetu.

Alimpa sifa sana mama Salma aliyehudhuria uzinduzi huo kwa kulikemea hivi karibuni kwa nguvu zake zote ktk bunge linaloendelea.

Ameongeza kuwa NGO inayotaka hayo basi ijenge sekondari ama shule za msingi kwa ajili ya watoto waliojifungua na kamwe siyo serikali yake.
 
Waambieni na wafundisheni waanze huo mchezo mtamu wakishafiak chuo kikuu. Isitoshe NGOs zinaruhusiwa kuwasomesha private.
Wewe uliuanza chuo kikuu? Kama ulianza huo mchezo chuo kikuu ilikuwa kwa sababu ya maadili au udomo zege?
 
Waambieni na wafundisheni waanze huo mchezo mtamu wakishafiak chuo kikuu. Isitoshe NGOs zinaruhusiwa kuwasomesha private.
kwa mtamo wangu lakin anacctiza mwanafunzi kutokupata mimba.ujue kweli akilegeza uzi wanafunzi watapigwa sana pachuti
Namuunga mkono Rais %100. Wazazi wameacha malezi bora ya watoto wanatetea Uasherati! Vijana wanaendekeza Ngono zembe licha ya mafunzo yote wanayopewa.
 
ndio niambiye madhara yatakayo tokea ni yapi, akiachwa aendelee na masomo mwanafunzi mzazi?
acha! kushabikia matamko yasiokua na Tija zidi ya wanafunzi wakike wanao tokea kwenye family zakimaskini, kwao kushawishiwa kwa vyakula na kupachikwa mimba ni rahisi
 
wameamua kupata mimba,wakawatumikie mabwana zao shule wawaachie wengine

Hongera sana Amirijeshi mkuu hapo umenena
 
Nimemwelewa vizuri Mheshimiwa rais.Anachozuia ni serkali kuwasomesha,ila private schools hawazuiwi.Ni fursa sasa kwa wenye mitaji kuanzisha shule za wajawazito.
 
Hata Kibiti alisema hivyohivyo kesho yake watu wakafanya yao.

Ushoga hautaisha bongo kamwe as long as ulikuwepo tangu sodoma na gomora na watu wanazidi kuupenda mchezo huo

Awamu hii siyo maneno ni vitendo tu.

Any way, rais amemaliza asiyetii atalala naye mbele
 
Back
Top Bottom