covering risks
Senior Member
- Mar 13, 2015
- 125
- 124
Mtanyooka tu,wakati mlipokuwa mmepanga foleni kichwani unawaza jembe na nyundo ulifikiria sawa kweli!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mashoga na wanaobaka vibinti vya shule ndiyo wanachukia hatua zote hizi anazozichukua rais Dr. Magufuli.
Ila mwanaume, aliyetimamu na anakula "K" ya mwanamke aliyetimiza umri wa kuolewa na asiye mwanafunzi wa shule za sekondari na za msingi hana tatizo kabisa na kauli kama hiyo.
Hiyo siyo adhabu Bali ni matokeo ya tamaa zake malezi mabaya!Kama kweli kasema hivyo basi kapotoka sana na sikubaliani naye kabisa.
Mwanafunzi wa kike kupata ujauzito siyo kosa kubwa hivyo hadi anyimwe fursa ya kujiendeleza kielimu.
Hapo adhabu haiendani kabisa na kosa!
Wewe uliuanza chuo kikuu? Kama ulianza huo mchezo chuo kikuu ilikuwa kwa sababu ya maadili au udomo zege?Waambieni na wafundisheni waanze huo mchezo mtamu wakishafiak chuo kikuu. Isitoshe NGOs zinaruhusiwa kuwasomesha private.
Waambieni na wafundisheni waanze huo mchezo mtamu wakishafiak chuo kikuu. Isitoshe NGOs zinaruhusiwa kuwasomesha private.
Namuunga mkono Rais %100. Wazazi wameacha malezi bora ya watoto wanatetea Uasherati! Vijana wanaendekeza Ngono zembe licha ya mafunzo yote wanayopewa.kwa mtamo wangu lakin anacctiza mwanafunzi kutokupata mimba.ujue kweli akilegeza uzi wanafunzi watapigwa sana pachuti
Kashasema wanaowapa ujauzito hata kama ni mwanafunzi mwenzake sheria ipo miaka thelathini.Huyu mzee sijui anawazaga nini kabla ya kuongea. Na wanaowapa ujauzito wasisomeshwe basi.
Hata Kibiti alisema hivyohivyo kesho yake watu wakafanya yao.
Ushoga hautaisha bongo kamwe as long as ulikuwepo tangu sodoma na gomora na watu wanazidi kuupenda mchezo huo
Atafute shughuli nyingine ya kufanyaInakuwaje pale Binti mwanafunzi akapata mimba baada ya kubakwa!!