Rais Magufuli: Sitasomesha Wanafunzi waliopata ujauzito, siwezi kusomesha Wazazi

Ni ukweli mchungu ila mkulu alegeze msimamo kiaina. Kuna wengine wanapata ujauzito baada ya kubakwa. Japo jamii ina wajibu mkubwa katika kumlinda mtoto wa kike.
 
Atakayefanya kama alivyosema RAIS atakuwa MZAZI mpumbavu.Kuna shule za private,kama anauwezo ampeleke mtoto wake private.

Huu ujinga ati mtoto sababu amepata Mimba asisome aupeleke Lumumba na Chato
Kwani za private Ni za Magufuri?yeye anaongelea shule za serikali
 
Wengi wao wanaoanza certificate ni miaka 18 ambao wametoka kumaliza kidato cha nne .....maana siku hizi vyuo vingi vinachukua failure wa fom 4 na kuanza certificate na wengi wao wana anza na age ya 18 ......ata hivo ukiwa chuoni wewe ni mtu unayejielewa.

Kikubwa wazazi wako wakupe nasaha tu
 
mkuu wape chance watoto,

wako alizungusha na bado akapewa chance ya kusoma,

ni sawa na hao,they need a second chance,

halafu mtu amesoma mpaka PHD,na kuona umuhimu wa elimu,

asione ni kitu cha manufaa,ambacho ni haki ya kila mtoto,anakuja na matamko kama haya,aibu...
 


Wazazi au walezi wakishindwa kuwalea watoto acha serikali iweke sheria ngumu hadi mkome.

Bado, miaka 5 mzazi au mlezi, aliyejaza 30 na mjazwa 30 yrs jela ndiyo mkome.
 


Kama vitoto, vinapenda kuchezea vichwa vya chini badala ya kutafuta elimu sasa unataka rais aseme nini sasa!?

Acha waisome namba ndiyo akili zitawarudi.
 
Universal declaration of human rights:

Article 26.
(1) Everyone has the right to education. Education shall be free, at least in the elementary and fundamental stages. Elementary education shall be compulsory. Technical and professional education shall be made generally available and higher education shall be equally accessible to all on the basis of merit.

(2) Education shall be directed to the full development of the human personality and to the strengthening of respect for human rights and fundamental freedoms. It shall promote understanding, tolerance and friendship among all nations, racial or religious groups, and shall further the activities of the United Nations for the maintenance of peace.

(3) Parents have a prior right to choose the kind of education that shall be given to their children.

Article 27.
(1) Everyone has the right freely to participate in the cultural life of the community, to enjoy the arts and to share in scientific advancement and its benefits.

(2) Everyone has the right to the protection of the moral and material interests resulting from any scientific, literary or artistic production of which he is the author.

Article 28.
Everyone is entitled to a social and international order in which the rights and freedoms set forth in this Declaration can be fully realized.

Article 29.
(1) Everyone has duties to the community in which alone the free and full development of his personality is possible.

(2) In the exercise of his rights and freedoms, everyone shall be subject only to such limitations as are determined by law solely for the purpose of securing due recognition and respect for the rights and freedoms of others and of meeting the just requirements of morality, public order and the general welfare in a democratic society.

(3) These rights and freedoms may in no case be exercised contrary to the purposes and principles of the United Nations.

Article 30.
Nothing in this Declaration may be interpreted as implying for any State, group or person any right to engage in any activity or to perform any act aimed at the destruction of any of the rights and freedoms set forth herein.
 
Kamaanisha Primary na Secondary au hadi vyuo apo sijamuelewa
 
Wewe uliuanza chuo kikuu? Kama ulianza huo mchezo chuo kikuu ilikuwa kwa sababu ya maadili au udomo zege?
Nilianza nikiwa chuo kikuu. Na ndiyo ikawa salama yangu. Mtoto wako akijifanya mjuaji na kuanza mchezo huo akiwa msingi na upili, na ashike ujauzito, hatasomeshwa shule na serikali, labda umuombee msaada kutoka NGO.
 
Aka kamchezo katam alafu unapojifunza ndio unanogewa....apa mzazi inabidi umpeleke private mwanao akishibishwa.
 
Rais hakukataa wanaopata mimba wasiendelee ila kasema waendelee huko private na sio shule za serikali. Amesema hata hizo ngo zinazowatetea zikipenda zifungue shule za watoto wa shule wazazi.
 
Wafunzeni mabinti zenu tabia njema wazingatie masomo wawapo shuleni.
 
Hata kama mimba kapewa na kijana mwanafunzi mwenzie. Mvulana aendelee kusoma
Nchi hii inaendelea kwenda juu au chini?
 
Kama vitoto, vinapenda kuchezea vichwa vya chini badala ya kutafuta elimu sasa unataka rais aseme nini sasa!?

Acha waisome namba ndiyo akili zitawarudi.

huna watoto ndio maana unasema hivyo......subiri uwe na watoto au ufurahie kisa mtoto wa jirani yako kapata mimba na masomo hataendelea tena.
 
Yuko sahihi....vijana wenye kutothamini namna wazaz wao wanavyojitoa kuwasomesha kisha wao wanakalia kutepesha suruali,kugaw papuchi.

Mzazi anauza karanga we usome then unakuta kabinti kanavua nguo ovyo ovyo tu....
Shenz kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…