Reina princess
JF-Expert Member
- Jul 1, 2015
- 1,322
- 1,502
Utakuwa ni mwendo wa wazazi kuwatoa mimba watoto wao.
Inasikitisha
Inasikitisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani za private Ni za Magufuri?yeye anaongelea shule za serikaliAtakayefanya kama alivyosema RAIS atakuwa MZAZI mpumbavu.Kuna shule za private,kama anauwezo ampeleke mtoto wake private.
Huu ujinga ati mtoto sababu amepata Mimba asisome aupeleke Lumumba na Chato
Wengi wao wanaoanza certificate ni miaka 18 ambao wametoka kumaliza kidato cha nne .....maana siku hizi vyuo vingi vinachukua failure wa fom 4 na kuanza certificate na wengi wao wana anza na age ya 18 ......ata hivo ukiwa chuoni wewe ni mtu unayejielewa.Mwanafunzi wa shule ya msingi na sekondari akipata mimba ni big issue, lakini mwanafunzi huyohuyo akiwa certificate ujauzito kwake sio ishu!
Nadharia ya elimu na jinsia ni mjadala mpana sana usiohitaji maneno ya mkato,bali inahitajika utafiti mkubwa ambao utakuja na majibu ya suluhisho la kudumu dhidi ya ujinga, mimba za utotoni na zinaa
Mwanafunzi wa shule ya msingi na sekondari akipata mimba ni big issue, lakini mwanafunzi huyohuyo akiwa certificate ujauzito kwake sio ishu!
Nilitegemea mtu mwenye mtazamo wa kuleta mabadiliko na mapinduzi ya viwanda angetilia mkazo sana suala la elimu, kwa kuwawekea utaratibu mzuri kwa kila asiyebahatika kuipata elimu kutokana na sababu za hapa na pale.
Nadharia ya elimu na jinsia ni mjadala mpana sana usioisha ndani ya mfumo wa kidemokrasia. Athari ya mjadala huu ni kuibuka harakati nyingi za kijinsia, huku zote zikiwa zimeegemea upande mmoja wa jinsia kana kwamba jinsia hiyo ni dhaifu kuliko nyingine.
Kihakika mjadala huu ni mjadala usiohitaji maneno ya mkato,bali inahitajika utafiti mkubwa ambao utakuja na majibu na suluhisho la kudumu dhidi ya umasikini , ujinga, mimba za utotoni na zinaa.
mkuu wape chance watoto,
wako alizungusha na bado akapewa chance ya kusoma,
ni sawa na hao,they need a second chance,
halafu mtu amesoma mpaka PHD,na kuona umuhimu wa elimu,
asione ni kitu cha manufaa,ambacho ni haki ya kila mtoto,anakuja na matamko kama haya,aibu...
Habari wanaJF,
Leo akiwahutubia wakazi wa Bagamoyo, Mkoani Pwani. Rais Magufuli amesema hakuna Mwanafunzi aliyebeba ujauzito atakayerudi shule katika utawala wake. Akaongeza kuwa hawezi kufanya kazi ya kusomesha wazazi.
" Inaweza kufika kipindi darasa zima linawatoto, Mwalimu akifundisha wao wanatoka nje kwenda kunyonyesha".
Hata kama ni watoto wangu, yani nikupeleke shule alafu upate mimba nikurudishe? Aende akapate mimba aone kama nitamrudisha.
Mimi nimetoa fedha ili mwanafunzi asome bure, halafu leo mtu apate mimba arudi shule? Ndani ya utawala wangu, haitotokea.
Wakati mwingine ukizikiliza hizo NGOs zitakuwa zinalipeleka taifa pabaya. Ndani ya utawala wangu haitotokea. NEVER.
Hizi NGOs kama zinawapenda sana hao watoto zikafungue shule zao za kusomesha wazazi. Serikali haiwezi kuwasomesha.
Hawa wanaotuletea haya mambo hawatupendi ndugu zangu. Wametuletea dawa za kulevya, wameleta ushoga ambao hata ng'ombe hawana.
Huku kuiga iga tutakuja kuiga mambo ambayo hata hayafai. Wanakuja na misaada ambayo ni mali zetu wametuibia.
Nyie wafugaji mmefuga lakini hamjawahi kuona hata mbuzi au nguruwe amekosea huu mchezo. Lakini wao wanataka Watanzania wakosee.
Wakati huo huo, Rais amesema kuwa anawaomba msichukue maeneo ya Magereza, hata mimi nikifungwa siku moja nipate sehemu ya kulima.
Rais Magufuli ametoa eneo la ekari 65 kwa wananchi lililokuwa na mgogoro kati yao na Jeshi la Magereza.
Nilianza nikiwa chuo kikuu. Na ndiyo ikawa salama yangu. Mtoto wako akijifanya mjuaji na kuanza mchezo huo akiwa msingi na upili, na ashike ujauzito, hatasomeshwa shule na serikali, labda umuombee msaada kutoka NGO.Wewe uliuanza chuo kikuu? Kama ulianza huo mchezo chuo kikuu ilikuwa kwa sababu ya maadili au udomo zege?
Rais hakukataa wanaopata mimba wasiendelee ila kasema waendelee huko private na sio shule za serikali. Amesema hata hizo ngo zinazowatetea zikipenda zifungue shule za watoto wa shule wazazi.Kama kawaida ya mzee wa visasi, hivi hajui kuna watu wana chukua masters na tayari wana watoto wenye watoto.
Elimu ni haki ya kila mtu, hata kama mtoto wa sekondari kapata mimba haimaanishi hiyo haki yake inapotea, aendelezwe baadaye aje kuokoa mtoto sio kukaa anaongeza idadi ya wajinga wasio na kazi. Midingi yenye phd feki ndo haiwezi kuliona hili. Tz won't be saved by this guy, he's a joke.
Wafunzeni mabinti zenu tabia njema wazingatie masomo wawapo shuleni.Universal declaration of human rights:
Article 26.
(1) Everyone has the right to education. Education shall be free, at least in the elementary and fundamental stages. Elementary education shall be compulsory. Technical and professional education shall be made generally available and higher education shall be equally accessible to all on the basis of merit.
(2) Education shall be directed to the full development of the human personality and to the strengthening of respect for human rights and fundamental freedoms. It shall promote understanding, tolerance and friendship among all nations, racial or religious groups, and shall further the activities of the United Nations for the maintenance of peace.
(3) Parents have a prior right to choose the kind of education that shall be given to their children.
Article 27.
(1) Everyone has the right freely to participate in the cultural life of the community, to enjoy the arts and to share in scientific advancement and its benefits.
(2) Everyone has the right to the protection of the moral and material interests resulting from any scientific, literary or artistic production of which he is the author.
Article 28.
Everyone is entitled to a social and international order in which the rights and freedoms set forth in this Declaration can be fully realized.
Article 29.
(1) Everyone has duties to the community in which alone the free and full development of his personality is possible.
(2) In the exercise of his rights and freedoms, everyone shall be subject only to such limitations as are determined by law solely for the purpose of securing due recognition and respect for the rights and freedoms of others and of meeting the just requirements of morality, public order and the general welfare in a democratic society.
(3) These rights and freedoms may in no case be exercised contrary to the purposes and principles of the United Nations.
Article 30.
Nothing in this Declaration may be interpreted as implying for any State, group or person any right to engage in any activity or to perform any act aimed at the destruction of any of the rights and freedoms set forth herein.
Kama vitoto, vinapenda kuchezea vichwa vya chini badala ya kutafuta elimu sasa unataka rais aseme nini sasa!?
Acha waisome namba ndiyo akili zitawarudi.
Vuta tukae woteNavuta kiti kabisa maana nitajionea mengi utawala huu.