Sawa kabisa...tujifunze na sisi kuwa na mambo yetu, na viwango vyetu vya maadili ambavyo tunavisimamia.
NGO na wafadhili wake ambao wengi ni wazungu wasilazimishe kuleta mambo ambayo sisi hatujaona maana yake.
What happened to the mantra that " if you educate a girl you educate a family (nation)."
Kama kweli kasema hivyo basi kapotoka sana na sikubaliani naye kabisa.
Mwanafunzi wa kike kupata ujauzito siyo kosa kubwa hivyo hadi anyimwe fursa ya kujiendeleza kielimu.
Hapo adhabu haiendani kabisa na kosa!
MTU ambae anashindwa kufikiri au kufanya maamuzi kwa kusaidiwa na hizi madocuments huwa ananiboa sana,kama wewe unaetujazia saver za jf bure ...Universal declaration of human rights:
Article 26.
(1) Everyone has the right to education. Education shall be free, at least in the elementary and fundamental stages. Elementary education shall be compulsory. Technical and professional education shall be made generally available and higher education shall be equally accessible to all on the basis of merit.
(2) Education shall be directed to the full development of the human personality and to the strengthening of respect for human rights and fundamental freedoms. It shall promote understanding, tolerance and friendship among all nations, racial or religious groups, and shall further the activities of the United Nations for the maintenance of peace.
(3) Parents have a prior right to choose the kind of education that shall be given to their children.
Article 27.
(1) Everyone has the right freely to participate in the cultural life of the community, to enjoy the arts and to share in scientific advancement and its benefits.
(2) Everyone has the right to the protection of the moral and material interests resulting from any scientific, literary or artistic production of which he is the author.
Article 28.
Everyone is entitled to a social and international order in which the rights and freedoms set forth in this Declaration can be fully realized.
Article 29.
(1) Everyone has duties to the community in which alone the free and full development of his personality is possible.
(2) In the exercise of his rights and freedoms, everyone shall be subject only to such limitations as are determined by law solely for the purpose of securing due recognition and respect for the rights and freedoms of others and of meeting the just requirements of morality, public order and the general welfare in a democratic society.
(3) These rights and freedoms may in no case be exercised contrary to the purposes and principles of the United Nations.
Article 30.
Nothing in this Declaration may be interpreted as implying for any State, group or person any right to engage in any activity or to perform any act aimed at the destruction of any of the rights and freedoms set forth herein.
Ahhahaaha[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] folegzampoKumbe anajua km atafungwa!
Bana usije pata mimba ukawa mzazi ukakosa elimu!!Nimekosa hata neno duh
Kama upo akilini mwangu vileHivi prison break season ya 5 inatoka lini baada ya ile episode ya 09 jamani??
Nimechoka sana na kufuatilia mambo ya nchi yangu.
Good ..! Kuwarudisha darasani ni kupalilia haka ka mchezo.
Naunga mkono hoja!
Malezi bora hapo unazungumzia maadili katika jamii. Kama ndivyo, itabidi uanze kujiuliza hivi: Hawa wanasiasa wetu wanaotaka mabinti zetu wasiendelee na masomo wakiishapewa ujauzito wao wana maadili kiasi gani?, wao si miongoni wa wale wanaowapa ujauzito mabinti zetu? Ni kundi gani katika jamii lina maadili? Wachungaji, waalimu au mashekhe?Namuunga mkono Rais %100. Wazazi wameacha malezi bora ya watoto wanatetea Uasherati! Vijana wanaendekeza Ngono zembe licha ya mafunzo yote wanayopewa.
Kuna drama za ajabu sana mkuu. Bora tutafute kinachotupa raha kwa kweli.Kama upo akilini mwangu vile
Wala, mbona toka zamani hili swala lililkuwepo?! Anachomaanisha, msichana akipata mimba lazima aache shule, atajiendeleza kivyake, either as a private candidate au kupitia Vocational Training, au hata ujasiriamali au kilimo, ila akizaa kurudi shule haipo, hata kwenye nchi zilizoendelea, hakuna upuuzi na uzuzu huo, ila kama hamjamuelewa basi nyie ndio mwataka kukaribisha uzuzu mashuleni...kwa hiyo amechagua ujinga.. tafuta wapiga kura mzee.. ukiwasomesha imekula kwa ccm
Kama kweli kasema hivyo basi kapotoka sana na sikubaliani naye kabisa.
Mwanafunzi wa kike kupata ujauzito siyo kosa kubwa hivyo hadi anyimwe fursa ya kujiendeleza kielimu.
Hapo adhabu haiendani kabisa na kosa!