Contradiction.. Kama mwanafunzi wa kike ambae hajafikisha miaka 18, sheria inamtambua ni mtoto na hivyo mwanaume anaefanya nae mapenzi anachukuliwa kama amembaka, iweje sasa huyo anaetambuliwa kama mtoto na hana akili ya kuchambua maamuzi anayoyafanya na consequences zake leo aje kupewa adhabu kubwa simply tu kwa maamuzi (ambayo sheria inatambua ni ya kitoto), au kuiweka kisheria zaidi kwa kubakwa..?
Tumelogwa..
Ushamuita your president alafu wauliza yeye ni nani anayeweza kuhukumu teh tehe tehni kweli haya maneno yametoka kwenye mdomo wa my president?yeye ni nani anayeweza kuhukumu ?
Kabisa ... 100000%Namuunga Mkono Mh. Rais kwa 100%
Atakayefanya kama alivyosema RAIS atakuwa MZAZI mpumbavu.Kuna shule za private,kama anauwezo ampeleke mtoto wake private.
Huu ujinga ati mtoto sababu amepata Mimba asisome aupeleke Lumumba na Chato
Majira ni mbaya sana usizuie ujauzito wakati hujui kizazichako kipovip...anaeruhusiwa kutumia ni yule aliezaa tu.Tuwafundishe watoto kutumia majira, ili wasipate mimba zisizotarajiwa.
Hujaelewa wapi!??What?! Haki ya naniiiii ipo shida tena shida kubwa sana. Matamko ya namna hii tusilaumiane 2020
Kuna msichana yoyote aliyemaliza sekondari akiwa bado bikira?tatizo hili ni sugu hapa nchini na sidhani kama litaishaMkuu Malizia yote pia amesema watakaowapa mimba wanafunzi miaka therathini jela, mimi namuunga mkono kwa sababu nina watoto wengi wa kike
Kuna binti alipata ujauzito akiwa form 2 miaka ya nyuma kidogo.. akajifungua salama mtoto akawa mwaka moja kasoro wazazi wake wakapambana akarudi shule.. leo hii ni Mwalimu mshahara analipwa na anawasaidia watu wengine wakiwemo wazazi wake na serikali inakata kodi kama kawaida
Magu kwa upande wa vision hamna kabisa anajenga taifa la omba omba
mpe mimba ndio mjadala utakuwa mzuri zaidi
Na kumpa mimba Je?Huyu jamaa aandikiwe hotuba, kumnyima mtu elimu ni kumkatalia haki yake ya kibinadamu yale maazimio tuliyosaini yatawabana watakaotekeleza huu ujinga.
Juzi kawaponza trafiki wawili.
Maneno yako sahihi mkuu......ikiletwa misaada wanafurahia kichizimi na huyu mheshimiwa tunapishana kwenye namna anavyofikisha ujumbe wake tu basi;...kwanini inakuwa katika mtindo wa mipasho sana?!!!!! na kwanini anawaita watu wanaotusaidia wezi? wamemuibia nini na kwanini asiwakamate?
Maneno huumba, hiyo kauli yake ya mwisho asishangae siku ikitimia