Kwanduba
Member
- Oct 15, 2016
- 46
- 11
Sikushangai maana kwanza wewe mwenyewe Mgonjwa...mmhhhhRais anapokuwa wakwanza kuwanyima watu wake haki yao yakupata elimu basi tupo pabaya sana kama taifa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sikushangai maana kwanza wewe mwenyewe Mgonjwa...mmhhhhRais anapokuwa wakwanza kuwanyima watu wake haki yao yakupata elimu basi tupo pabaya sana kama taifa.
Ni kawaidaa yetu WTz kujitoa akili....Watanzania bwana kwa ujinga na kujifanya wajuaji ni namba moja...
Kwahiyo mlitaka Raisi aseme "mwanafunzi akipata mimba ni sawa tu, ataendelea na shule..." Big NO, haiwezekani...
Angeruhusu hilo uku mtaani ingekuwa machafuko, mazingira ya watoto wengi wa kitanzania tunayajua. Watoto wangeanza kupigana mimba uku mtaani. Yani mtoto anazaa mtoto. woga saa nyingine unasaidia...
Msilete mambo ya ajabu.... Msitetee mambo ya ajabu...
Baada ya kutoa taarifa ya kubakwa na bahati mbaya akapata ujauzito na kuzaa, je Binti ataendelea na shule kama anahitaji au ndo basi tena? Maana huyo hakujitakia baali ni majanga tu yamemkutaunatoa taarifa polisi within 24 hrs, unapatiwa tiba yavali na unakuwa na documentation, daktari atathibisha kuwa kweli umebakwa
lingine
Alirudi shule hiyohiyo !?? Ilikuwa ya serikali!?Dah, inasikitisha sana kuwaona watu kama nyie mnashangalia suala la mtoto wa kike kunyimwa haki yake ya msingi "Elimu". Kuna msemo usemao "mtoto akiunyea mkono haukati", sasa kwanini mtoto wa kike akibeba mimba anyimwe haki yake. Mm nina mdogo wangu alibeba mimba akiwa shule ila alifanikiwa kuendelea na masomo yake na baada ya kujifungua alilea mtoto miezi mitatu akarudi shule kama kawaida. Mimba sio ulemavu na kupata mtoto sio mwisho wa maisha.
Kwahiyo unataka kusema nini!!??Nina visa viwili
#1. Kuna binti mmoja alipata ujauzito akiwa kidati cha nne mwanzoni..... Akaenda kufanya Mock kisha NECTA akafaulu kwa kiwango cha div 2...
Akaenda kidato cha Tano.... Huko mbele ya safari sijui aliishia wapi.
#2. Mwingine alirudi shule akafaulu akapangiwa kidato cha Tano Mawenzi Sec .. Akamaliza Kidato cha Sita kisha akaenza Mzumbe akachukua digrii yake lao hii ni mfanyakazi wa Umma.
Haki ya Elimu ni haki ya Msingi..... Ndio maana ilipoonekana kuwa watu wengi wamekosa hiyo haki ilibidi ianzishwe Elimu ya Watu WazimaRais anapokuwa wakwanza kuwanyima watu wake haki yao yakupata elimu basi tupo pabaya sana kama taifa.
Huyu nae atalala mbeleInakuwaje pale Binti mwanafunzi akapata mimba baada ya kubakwa!!
Habari wanaJF,
Leo akiwahutubia wakazi wa Bagamoyo, Mkoani Pwani. Rais Magufuli amesema hakuna Mwanafunzi aliyebeba ujauzito atakayerudi shule katika utawala wake. Akaongeza kuwa hawezi kufanya kazi ya kusomesha wazazi.
" Inaweza kufika kipindi darasa zima linawatoto, Mwalimu akifundisha wao wanatoka nje kwenda kunyonyesha".
Hata kama ni watoto wangu, yani nikupeleke shule alafu upate mimba nikurudishe? Aende akapate mimba aone kama nitamrudisha.
Mimi nimetoa fedha ili mwanafunzi asome bure, halafu leo mtu apate mimba arudi shule? Ndani ya utawala wangu, haitotokea.
Wakati mwingine ukizikiliza hizo NGOs zitakuwa zinalipeleka taifa pabaya. Ndani ya utawala wangu haitotokea. NEVER.
Hizi NGOs kama zinawapenda sana hao watoto zikafungue shule zao za kusomesha wazazi. Serikali haiwezi kuwasomesha.
Hawa wanaotuletea haya mambo hawatupendi ndugu zangu. Wametuletea dawa za kulevya, wameleta ushoga ambao hata ng'ombe hawana.
Huku kuiga iga tutakuja kuiga mambo ambayo hata hayafai. Wanakuja na misaada ambayo ni mali zetu wametuibia.
Nyie wafugaji mmefuga lakini hamjawahi kuona hata mbuzi au nguruwe amekosea huu mchezo. Lakini wao wanataka Watanzania wakosee.
Wakati huo huo, Rais amesema kuwa anawaomba msichukue maeneo ya Magereza, hata mimi nikifungwa siku moja nipate sehemu ya kulima.
Rais Magufuli ametoa eneo la ekari 65 kwa wananchi lililokuwa na mgogoro kati yao na Jeshi la Magereza.
Hiyo dawa inapatikana kokote kwenye zahanati na vituo vya afya.Kwahiyo wote wanaobakwa Tanzania mpaka huko vijijini huwa mnawapa hiyo dawa sio?
Hongereni.
Call a spade spade not a big spoonBora angemtuma msemaj wake ayaseme hayo maneno,ni mazito kwa cheo chake kuyasema,yaan bas tu, kwel hapa kaz tu na kwel ni kaz tu,hakuna kuremba.
Yani hapa analijibu lile tangazo la Haki ElimuNataka niwaambie hawa ngo's Na taasisi nyenginezo... Katika utawala wangu mwanafunzi atakaye pata ujauzito akiwa shuleni ( kuanzia darasa la kwanza hadi kidato cha nne ) Hakuna ruhusa kwa mwanafunzi huyo kuendelea na masomo baada ya kujifungua..
"NATAKA NISEME, KATIKA UTAWALA WANGU HAKUTAKUWA NA KITU KAMA HICHO "
Mkuu kwani wewe ni mgumba??Kwa kauli hii na muunga mkono mh prezidaa