Rais Magufuli: Sitasomesha Wanafunzi waliopata ujauzito, siwezi kusomesha Wazazi

Rais Magufuli: Sitasomesha Wanafunzi waliopata ujauzito, siwezi kusomesha Wazazi

Mkuu ni haki yako kuwa upande uupendao, ila suala hili linasababishwa na muingiliano wa sababu nyingi sana na linahitaji hekima na busara kulishughulikia kwa manufaa ya pande zote. Shule za kata zina matatizo lukuki yanayopelekea mimba kwa wanafunzi, elimu duni ya afya ya uzazi na sababu zinginezo ni lazima zitafutiwe ufumbuzi. Sisi walimu wa miaka mingi huku vijijini tunayaona na tunajua uhalisia wake, so mkuu atafakari na aache kauli za namna hiyo.

Mmmmh,
Sasa labda nikuulize inawezekanaje, shule moja wanakuwepo wasichana wanaohitimu bila tatizo na wengine wanaleta mimba!?
Na ukiangalia kila hali ya maisha wanakuwa wako Sawa kabisa!?

Any way, acha waisome namba ndiyo akili zitawarudi.
 
Kama kawaida ya mzee wa visasi, hivi hajui kuna watu wana chukua masters na tayari wana watoto wenye watoto.

Elimu ni haki ya kila mtu, hata kama mtoto wa sekondari kapata mimba haimaanishi hiyo haki yake inapotea, aendelezwe baadaye aje kuokoa mtoto sio kukaa anaongeza idadi ya wajinga wasio na kazi. Midingi yenye phd feki ndo haiwezi kuliona hili. Tz won't be saved by this guy, he's a joke.
Sasa Presdent anaongea namna gan..Education policy haiko Tz na kwnii hio pesa anadai ni yake na hawezi toa kwa Mwanfunz ambaye yuko na mimba si ni yaKODI zile wa zimekusanywa.
 
Ulitaka aseme wanafunzi wa kike wakipata mimba waendelee kusoma alafu awe anachochea ngono? Hiyo speech ni total deterrence. Big up sana your Excellency Mr John

I. Soldier,

Watu wengine hawaangalii side effects za tamko la wazi la kukubaliana na huo upoyoyo wa watoto wa kike wa shule.

Binafsi, tamko hilo hata wakiliwekea sheria kabisa itakuwa poa sana.
 
Acha kutisha watu.

Kama hao, wasichana hawana vipaumbele kwenye maisha hapo mbeleni si ndiyo watatusababishia nchi kuingia gharama wakisha kuwa na nafasi, maamuzi yao yote yatakuwa ya kutokuwa na vipaumbele!!

Priorities in life, is a key to success and not a combination of assumptions!!
Wengi ni watoto wa kike ambao hawajapevuka kiakili kiasi hicho, plus other factors wanakuwa kwenye atari kubwa sana ya kupata ujauzito. Infact it is a complex interactions of so many factors, so msilichukulie suala hili kirahisi kihivyo vinginevyo mtakuwa mnaibua matatizo mengine miaka michache ijayo.
 
subutu mwalimu gani afundishe wa mama hawa wadogo wenyewe wanasumbua sembuse hao walio zaa ambao utu uzima wanaufahamu pamoja na utamu wa kale kamchezo.
 
Kama kweli kasema hivyo basi kapotoka sana na sikubaliani naye kabisa.

Mwanafunzi wa kike kupata ujauzito siyo kosa kubwa hivyo hadi anyimwe fursa ya kujiendeleza kielimu.

Hapo adhabu haiendani kabisa na kosa!

Alichozuia ni kutoendelea kusoma shule za serikali, ambapo wanasoma bure na yeye/serikali haitaki kuja kusomesha wenye watoto.

Akiwa mjamzito au akijifungua anaweza kuhamia/kuendelea na fursa ya elimu kwenye shule binafsi ambapo zuio hilo halipo.
 
Mmmmh,
Sasa labda nikuulize inawezekanaje, shule moja wanakuwepo wasichana wanaohitimu bila tatizo na wengine wanaleta mimba!?
Na ukiangalia kila hali ya maisha wanakuwa wako Sawa kabisa!?

Any way, acha waisome namba ndiyo akili zitawarudi.
Inawezekana tuna uzoefu tofauti katika suala hili la malezi na makuzi ya watoto, na tunaweza bishana bila kufikia muafaka, ila nimekuelewa unachokisimamia. Wacha tusubiri labda miaka kadhaa ijayo utabadili mtizamo wako. Miaka yangu 20 ya kufundisha na kufanya kazi na marginalised communities imenifunza mengi sana.
 
Asante,

Ila hata Dr. JK, aliwahi Sema "Wanaopata..... ni Viherehere vyao "
 
Hata mimi ningekuwa raisi hili lingekuwa lakwanza kupitusha, VIVA NGOSHA , VIVA TZ YA VI'WONDER[emoji23]
 
Kama kweli kasema hivyo basi kapotoka sana na sikubaliani naye kabisa.

Mwanafunzi wa kike kupata ujauzito siyo kosa kubwa hivyo hadi anyimwe fursa ya kujiendeleza kielimu.

Hapo adhabu haiendani kabisa na kosa!
Nna uhakika umejibiwa na wengi. Nitaongezea. Magu sio wa kushabikia mapema.
 
Alichozuia ni kutoendelea kusoma shule za serikali, ambapo wanasoma bure na yeye/serikali haitaki kuja kusomesha wenye watoto.

Akiwa mjamzito au akijifungua anaweza kuhamia/kuendelea na fursa ya elimu kwenye shule binafsi ambapo zuio hilo halipo.
Mkuu huo ni uamuzi wa kitoto kwelikweli, tafakari.
 
Jamani mvumilieni, leo alikuwa amevurugwa, angevurugwa zaidi angesema wanyongwe maana wanaongeza idadi ya watu kiholela, serikali haina hela ya kuwahudumia🙄
 
Tatizo watu wamezoea kuvunja sheria za shule,sheria zinaeleza wazi adhabu ya kupata au kusababisha ujauzito ni kufukuzwa shule kwa wote utata uko wapi.
 
Atakayefanya kama alivyosema RAIS atakuwa MZAZI mpumbavu.Kuna shule za private,kama anauwezo ampeleke mtoto wake private.

Huu ujinga ati mtoto sababu amepata Mimba asisome aupeleke Lumumba na Chato
Ndio maana yule naniliu niKILAZA
 
Kama kweli kasema hivyo basi kapotoka sana na sikubaliani naye kabisa.

Mwanafunzi wa kike kupata ujauzito siyo kosa kubwa hivyo hadi anyimwe fursa ya kujiendeleza kielimu.

Hapo adhabu haiendani kabisa na kosa!
akasome KIYU TIII ndio itakuwa haki yake kwa kweli.NAUNGA MKONO KAULI YA MH.RAIS
 
Da!mepitia comment karb zote kuhusu hii mada,na nimechoka kwel kwel. Lakin megundua haya hapa:
1, watu pamoja na vichwa vyao kuwa vikubwa lakin vimejaa mifupa tu akili kdogo.
2, Watanzania tumebalikiwa tu macho ya kuona mbele,lakn tumenyimwa peo za kutazama mbali..bnafs sintakaa nimuunge mkono huyu mtukufu kipenzi cha zero brain kwa hili
Kwanza najiuliza maswali haya;kwa nn kla ktu haamue yy?, bunge ni LA kaz gani..mijadala ka hii ambayo inagusa taifa zima maamuz yatoke bungen baada ya majadiriano na kupima nguvu ya hoja za pande zote.
Lakin hili suala la kukurupuka na kuja na conclusion ni kuelendelea kulichimbia taifa kaburi la hatari,..this is a blind decission,education is the right for every individual..naamni kwa asilimia nying kuwa hata bungen wapo walobeba mimba wakiwa shulen,wengne ni mawazr na wengne wana nyazifa kubwa serikalin na taasis bnafs,Mr president think critically and decide logically
Pendekezo lang,katiba ibadilishwe mpiga kura atleast awe na elim ya form four,..
 
Back
Top Bottom