Poise
JF-Expert Member
- May 31, 2016
- 7,633
- 7,912
Mkuu ni haki yako kuwa upande uupendao, ila suala hili linasababishwa na muingiliano wa sababu nyingi sana na linahitaji hekima na busara kulishughulikia kwa manufaa ya pande zote. Shule za kata zina matatizo lukuki yanayopelekea mimba kwa wanafunzi, elimu duni ya afya ya uzazi na sababu zinginezo ni lazima zitafutiwe ufumbuzi. Sisi walimu wa miaka mingi huku vijijini tunayaona na tunajua uhalisia wake, so mkuu atafakari na aache kauli za namna hiyo.
Mmmmh,
Sasa labda nikuulize inawezekanaje, shule moja wanakuwepo wasichana wanaohitimu bila tatizo na wengine wanaleta mimba!?
Na ukiangalia kila hali ya maisha wanakuwa wako Sawa kabisa!?
Any way, acha waisome namba ndiyo akili zitawarudi.