Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
Mkuu, wakiruhusiwa kusoma hao wakiwa na mimba watafanyana sana. Tena wakikamatwa watasema rais aliruhusu.I. Soldier,
Watu wengine hawaangalii side effects za tamko la wazi la kukubaliana na huo upoyoyo wa watoto wa kike wa shule.
Binafsi, tamko hilo hata wakiliwekea sheria kabisa itakuwa poa sana.
Amesema wanaowapa mimba nao waelekee gerezani baada ya miaka 30 akitoka atamlea mwanaeHuyu mzee sijui anawazaga nini kabla ya kuongea. Na wanaowapa ujauzito wasisomeshwe basi.
Na wazaz wanachangia watoto kuwa na tabia za kishenz....Mkuu hilo ni swali au ushajijibu mwenyewe?Mazingira yasiyo rafiki ya kusomea haswa shule za kata za kutwa.
Kuruhusu hilo jambo ni kuhamasisha au kutoa upenyo wa watoto wa kike kujiingiza ktk ngono wakiwa wanafunzi tena wakiwa na umri mdogo, kitu ambacho ni distraction ya kufanya vizuri ktk elimu yao na pia hatari kwa afya yao. Labda waruhusu waliothibitika kubakwa pasipokuwa na shaka.Kama kweli kasema hivyo basi kapotoka sana na sikubaliani naye kabisa.
Mwanafunzi wa kike kupata ujauzito siyo kosa kubwa hivyo hadi anyimwe fursa ya kujiendeleza kielimu.
Hapo adhabu haiendani kabisa na kosa!
nani anayemwambia akubali amebakwa?our no 1,leo amegusia topic muhimu mno ambaye yeye kama kawaida kaiweka kimihemko,please wana JF tujaribu kuidadisi hapa,ni kweli kila mzazi anapenda mtoto wake aelimike shuleni,
mtoto wa kike inapotokea anapata mimba why anaathibiwa yeye tu,maana anafukuzwa shule hadi yule wa kiume aliyempa mimba anaachiwa aendelee na masomo,kwangu huu ni utaratibu dume na unaendeleza ukandamizaji wa watoto wa kike,halafu baadaye tunakuja kupiga kelele ohooo mbona hatuna wasomi wengi wa kike,
kumbe wengi wao wameathiriwa na mfumo dume,solutions watoto wa kike waruhusiwe kuendelea na shule baada ya kuzaa,iandaliwe kampeni nchi nzima ili watoto wa kike wanaopenda wapigwa sindano za kuzuia mimba,na hizi zinatofautiana kutoka mwezi mmoja hadi miezi sita,ila ni lazima kila mmoja kupimwa maana zina side effects kutegemeana na mhusika,condoms zigawiwe bure mashuleni na iandamane na elimu nzuri how to use it safely,
its time noe tabia hii ya kuwafukuza shule only girls ife maana ni ya kibaguzi.
mbona wengi mnakimbilia kubakwa mnadhani tuna taifa la wabakaji?Je kama mwanafunzi alibakwa? Je mwanafunzi akipewa ujauzito na mwalimu? Matineja wengi hawajapevuka kiakili kiasi cha kujua madhara wanayofanya. Si haki kuwanyima fursa adhimu kama ya elimu.
Ni jambo jema coz matumizi ya kinga yataimarikaJamaa Huongea Bila Kuangalia Madhara Yanayoweza Kutokea
Aiseh!!