Rais Magufuli: Sitasomesha Wanafunzi waliopata ujauzito, siwezi kusomesha Wazazi

Duh! Mkuu katema cheche za maana. Kwa namna yoyote ile kama kuna mtoto alishaanza kufurahi kudonolewa amenywea. Safi!
 
Sometimes mwanamke kabakwa wengine ni mazingira magum ndo yanawapelekea kuingia kwenye vishawish
 
ni kweli haya maneno yametoka kwenye mdomo wa my president?yeye ni nani anayeweza kuhukumu ?
 
Nimecheka sana chwi chwi chwi chwi chwiii [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…