Rais Magufuli: Sitasomesha Wanafunzi waliopata ujauzito, siwezi kusomesha Wazazi

sasa veta kuna nn jamani ..ufundi cherehani ndio tutajenga taifa kweli!! wengine wanabakwa shule zipo mbaliii mno.. nguja wanawake wote wawe mafundi nguo kushona tu.. watapewa tenda za kushona neti.[emoji16] [emoji16]
 
Mbina mnavuruga mada kwa makusudi ya chuki? Alichosema nikuwa SERIKALI HAITAWASOMESHA WALOPATA MIMBA SHULENI. Hapa anamaanisha Primary na Sekondari. Hajasema wasisome kwa uwezo wao. Kama wana nguvu ya kujisomesha ni juu yao. Lol.
 
Non-sense!!!
You and your president what you are trying to do is just a mental blackmail.

You know nothing except what you believe!!
Get well soon!!
 
Mbina mnavuruga mada kwa makusudi ya chuki? Alichosema nikuwa SERIKALI HAITAWASOMESHA WALOPATA MIMBA SHULENI. Hapa anamaanisha Primary na Sekondari. Hajasema wasisome kwa uwezo wao. Kama wana nguvu ya kujisomesha ni juu yao. Lol.
Wewe ndo unavuruga mada mkuu.
Serikali inawajibu wa kuhakikisha watu wote wanapata frusa sawa Na za kutosha kuwawezesha kupata elimu.

Ndio mana inakusanya kodi inajenga bajeti,inajenga shule, inaajiri walimu,inatunga sera Na mitaala,inaandaa vitabu,inatunga mitihani ya kitaifa,inatoa vyeti,inatoa ajira n.k

Wenye uwezo siku zote huwa hawana ugomvi Na serikali mana watoto wao wanasoma IST,FEZA n.k

Haki inayodaiwa hapa Ni ya wanaotegemea elimu bure/elimu bila malipo watoto wa mtanzania maskini!!!
Mayatima,waliotelekezwa Na kuachwa bila uangalizi katika jamii!!!!
 
Huyu zero apeleke huu ujinga kwao Chato na ndio maana wanaelewana na Bashite maana akili zao ziko sawa
 
Kwanini tunatoa povu kwenye hili swala jamani? Kama unapenda mwanao afanye ngono akiwa shuleni basi mshauri atumie condom, plain and simple.

Mbona wenzetu majuu ndo wanachokifanya na ndo maana hakuna mtoto anapata mimba akiwa shuleni. Tatizo wazee wa kiafrika wanaona ni dhambi kuongea na mwanao kuhusu sex, ni kosa kubwa sana hilo.
 
Pointi yako nzuri ila aina ya uwasilishaji sijaupenda.
 
Unamlaumu kana kwamba kaanzisha hili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…