Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
Well explained
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio rahisi sana watanzania wote wakawa kama uniform za shule flani, hata siku moja maisha ya mwawanadamu hayawezi kuwa sawa. Tangu zama za manabii walikuwepo masikini na matajiri. Kikubwa ni wazazi kujua wajibu wao na kuwalea watoto wao kulingana na hali ya maisha waliyo nayo.Hapo suala la muhimu ni kuhakikisha ajra zinapatikana kwa wingi na mishahara inatosheleza
Hii itapelekea kupunguza vishawishi visivyo vya msingi kwa hao wanafunzi maana vitu vingi kwa asilimia kubwa vitatimizwa na wazazi wao kwa wakati
Pia suala jingine ambalo serikali inapaswa kulitilia nguvu ni mikopo ya uhakika na ya kujitosheleza kwa wanafunzi ,na ukitaka kuamini hivyo ,we angalia kwa nini watoto wa kike wengi wanajiuza boom likikata ?
Ugumu wa maisha unachangiwa kwa kiasi kikubwa na serikaliSio rahisi sana watanzania wote wakawa kama uniform za shule flani, hata siku moja maisha ya mwawanadamu hayawezi kuwa sawa. Tangu zama za manabii walikuwepo masikini na matajiri. Kikubwa ni wazazi kujua wajibu wao na kuwalea watoto wao kulingana na hali ya maisha waliyo nayo.
Ss km unauliza nani kasema wahalalishe uzinzi mbona humuungi mkono Magu...?? Unajichanganya...hueleweki unasupport watoto kuzaa ama kutozaaWewe sijui unaishi dunia gani? Nani kasema wahalalishe uzinzi? Inaonekana wewe hujazaa. Subiri uzae halafu ndo uongee
Kwa hiyo Veta Ni Taasisi ya Elimu isiyo na Heshima? Je Na Wavulana Watakaowapa Watoto wa Kike Magufuli Atawafukuza Pia? Au ni selective justice!Mkuu kuna suala la maadili mema kwa wanafunzi wa kike. Ni kulea uhuni na umalaya shuleni ikiwa mwalimu ambaye ni mwanamama anafundisha ubaoni halafu huku kwenye madawati kuna wasichana watatu ambao wananyonyesha watoto nyumbani.
Hao wasichana watatu hawawezi kumpa heshima yule mwalimu mwanamama kwa sababu ya zile akili za kusema "huyu si ni mwanamke mzazi kama sisi?". Hakuna heshima katika mazingira ya aina hiyo, na pia hakuna utii wa mkubwa kwa mdogo.
Bila ya uwepo wa utii kutoka kwa hao watatu sidhani kama hao wasichana wengine watamheshimu huyo mwalimu mwanamama.
Waende wakasome VETA, waende shule za private, waende kokote kule, lengo ni lile lile, la kurudisha heshima ya elimu.
Sio Kazi yake, hiyo ni Kazi ya WazaziAnachokataa Magu ni fungulia mbwa watu wazae at any age...uzazi nao una umri wake
Wengi wa waunga mkono wa mropoko ni mabungai. Hawajui kuwa hii nchi ni kubwa. Wanayoyaona kwenye mabanda ya chips walikotongozewa wao wanadhani ndio yanayotokea nchi nzima. Kati yao hakuna ajuaye kuwa kuna wabinti wadogo sana wanaingiliwa sio kwa kuona raha bali kwa kuwa victims of circumstances.Huyo jamaa mduanzi sana
Suala la wanafunzi kupata mimba mashuleni kwa asilimia kubwa linachangiwa na ugumu wa maisha unaopelekea wazazi kushindwa kuwatimizia majukumu yao watoto wao
Ww jiulize kwa nini wanaopata mimba nyingi za utotoni ni watoto wa maskini na sio matajiri
Nadhani hapo utapata jibu sahihi na utaacha kusifia upuuzi wa hilo lijamaa lisizonje
Kwa hiyo shule za Private ndio Zinaenzi Uzinzi? Kama dhana ni Kuzini na Mtoto wa Kiume akimpa mwanafunzi Wenzake mimba je aruhusiweje aendelee? Au kwa muwa yeye habebi mimba! Na kumwaribia Maisha ni Faida kwa Taifa au ni Mzigo?Kumpeleka private ni wewe mzazi ila yeye kasema shule za bure mbona wapo wanaopata na wakasoma anachosema isiwe ni sheria yaani isipitishwe ikishakuwa ni sheria watoto hawatasoma ni kuzaa tu
Incharge wa nchi ktk issue zote ni nani...mda mwingine sijui kwanini hamjui mnachokitaka...hujui malezi ni shirikishi ma swala mtambuka??basi wazazi wajenge shule za watoto wao km unaona hii sio kazi ya RaisSio Kazi yake, hiyo ni Kazi ya Wazazi
Kwa hiyo unataka awe in charge mpaka chumbani kwako sio,Incharge wa nchi ktk issue zote ni nani...mda mwingine sijui kwanini hamjui mnachokitaka...hujui malezi ni shirikishi ma swala mtambuka??basi wazazi wajenge shule za watoto wao km unaona hii sio kazi ya Rais