Ndiyo maana watu wakasema ni kuwaonea.Tangu zamani mwanafunzi akipata ujauzito alikuwa akikatisha masomo. Sasa leo kusemwa na JPM ndiyo inakuwa isdue? Au wewe una mimba tayari?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo maana watu wakasema ni kuwaonea.Tangu zamani mwanafunzi akipata ujauzito alikuwa akikatisha masomo. Sasa leo kusemwa na JPM ndiyo inakuwa isdue? Au wewe una mimba tayari?
Wachuo pia wamo man?Kwa hiyo wanaopinga kauli ya Mkuu ni wahusika wa uvunjaji wa sheria.?
Hatuna Raisi kwa kweli anasema yeye anauwezo wa kusomesha hata private je wasio na uwezo kuna wazazi kibao wenye uwezo baada ya kufanya makosa watoto wao waliwarudisha shule na hao watoto wakafanya vyema sana watoto wa masikini ndio watakaoliwa kama haelewi hakuna hata senti tano aliyotoa yeye mfukoni mwake kodi zetu ndio zinasomesha watoto asituambie mambo ya kujipa kiki hapaHabari wanaJF,
Leo akiwahutubia wakazi wa Bagamoyo, Mkoani Pwani. Rais Magufuli amesema hakuna Mwanafunzi aliyebeba ujauzito atakayerudi shule katika utawala wake. Akaongeza kuwa hawezi kufanya kazi ya kusomesha wazazi.
" Inaweza kufika kipindi darasa zima linawatoto, Mwalimu akifundisha wao wanatoka nje kwenda kunyonyesha".
Hata kama ni watoto wangu, yani nikupeleke shule alafu upate mimba nikurudishe? Aende akapate mimba aone kama nitamrudisha.
Mimi nimetoa fedha ili mwanafunzi asome bure, halafu leo mtu apate mimba arudi shule? Ndani ya utawala wangu, haitotokea.
Wakati mwingine ukizikiliza hizo NGOs zitakuwa zinalipeleka taifa pabaya. Ndani ya utawala wangu haitotokea. NEVER.
Hizi NGOs kama zinawapenda sana hao watoto zikafungue shule zao za kusomesha wazazi. Serikali haiwezi kuwasomesha.
Hawa wanaotuletea haya mambo hawatupendi ndugu zangu. Wametuletea dawa za kulevya, wameleta ushoga ambao hata ng'ombe hawana.
Huku kuiga iga tutakuja kuiga mambo ambayo hata hayafai. Wanakuja na misaada ambayo ni mali zetu wametuibia.
Nyie wafugaji mmefuga lakini hamjawahi kuona hata mbuzi au nguruwe amekosea huu mchezo. Lakini wao wanataka Watanzania wakosee.
Wakati huo huo, Rais amesema kuwa anawaomba msichukue maeneo ya Magereza, hata mimi nikifungwa siku moja nipate sehemu ya kulima.
Rais Magufuli ametoa eneo la ekari 65 kwa wananchi lililokuwa na mgogoro kati yao na Jeshi la Magereza.
Umeelewa alichomaanisha au unakurupuka tu ku coment kwa chuki zako?Kama kawaida ya mzee wa visasi, hivi hajui kuna watu wana chukua masters na tayari wana watoto wenye watoto.
Elimu ni haki ya kila mtu, hata kama mtoto wa sekondari kapata mimba haimaanishi hiyo haki yake inapotea, aendelezwe baadaye aje kuokoa mtoto sio kukaa anaongeza idadi ya wajinga wasio na kazi. Midingi yenye phd feki ndo haiwezi kuliona hili. Tz won't be saved by this guy, he's a joke.
Kwani wanasomeshwa? kiherehere cha mabinti zetu kutokumtaja aliyempa mimba ndiyo husababisha wasijulikaneHuyu mzee sijui anawazaga nini kabla ya kuongea. Na wanaowapa ujauzito wasisomeshwe basi.
Kuna wengine wametuletea mambo ya kubakana, sijui wanaume kwa wanaume, hivi ushawahi kuona Mbuzi anakosea ile sehemu - JPM [HASHTAG]#MagufuliPwani[/HASHTAG].
View attachment 528932
our no 1,leo amegusia topic muhimu mno ambaye yeye kama kawaida kaiweka kimihemko,please wana JF tujaribu kuidadisi hapa,ni kweli kila mzazi anapenda mtoto wake aelimike shuleni,mtoto wa kike inapotokea anapata mimba why anaathibiwa yeye tu,maana anafukuzwa shule hadi yule wa kiume aliyempa mimba anaachiwa aendelee na masomo,kwangu huu ni utaratibu dume na unaendeleza ukandamizaji wa watoto wa kike,halafu baadaye tunakuja kupiga kelele ohooo mbona hatuna wasomi wengi wa kike,kumbe wengi wao wameathiriwa na mfumo dume,solutions watoto wa kike waruhusiwe kuendelea na shule baada ya kuzaa,iandaliwe kampeni nchi nzima ili watoto wa kike wanaopenda wapigwa sindano za kuzuia mimba,na hizi zinatofautiana kutoka mwezi mmoja hadi miezi sita,ila ni lazima kila mmoja kupimwa maana zina side effects kutegemeana na mhusika,condoms zigawiwe bure mashuleni na iandamane na elimu nzuri how to use it safely,its time noe tabia hii ya kuwafukuza shule only girls ife maana ni ya kibaguzi.
We s utaenda kusomea jelaHuyu mzee sijui anawazaga nini kabla ya kuongea. Na wanaowapa ujauzito wasisomeshwe basi.