Babu wa Kambo
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 559
- 808
Nimefuatilia uzi nikagundua wanaoshabikia hili ni wale wale waliambiwa "Pesa si za umma" wakashangilia, baadae wakaambiwa "Pesa ni za umma" wakashangilia tena
Ndivyo walivyo!
Ndivyo walivyo!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaowajaza mimba hata kama ni wanafunzi wenzao mvua 30Huyu mzee sijui anawazaga nini kabla ya kuongea. Na wanaowapa ujauzito wasisomeshwe basi.
Lakini huo mtazamo wa Magu ni mtazamo wa watu wengi pia.
Wewe subiri tu uone maoni ya watu humu....utashangaa!!
Mimi naona hili jambo liachwe kama lilivyo tusilipinge wala tusilikubali maana tulikikubali wazae halafu warudi ni janga na pia tukisema wasisome pia siyo vizuri tuliache kama lilivyoWatanzania saa nyingine tuwe wakweli, kuna mtu anasomesha wajawazito kweli? jiulize maswali haya kisha nipe majibu
1. Mwezi wa ngapi mtoto mzazi atakatisha masomo yake? (kumbuka ujauzito ni miezi 9)
2. Miezi atakayokuwa shuleni akilea ujauzito wake mchanga, je nini mahusiano yake kati ya walimu na wanafunzi wenzake darasani?
3. Ni mwezi wa ngapi baada ya kujifungua ataruhusiwa kuendelea na masomo yake? kama ni miezi 3 baada ya kujifungua - je atapewa muda wa kuondoka mapema shuleni na kwenda kunyonyesha mtoto? kumbuka kunyonyesha si chini yamiezi 6.
4. Je baada ya likizo ya uzazi, mtoto huyu Mzazi atakuwa na uwezo wa kuyakumbuka aliyofundishwa miaka iliyopita? hasa ukizingatia suala la uzazi si la mchezo - tena mtoto mzazi huyu bado alikuwa hajapevuka - i mean impact ya uzazi itakuwa imemwathiri vipi kisaikojia?
5. Uhusiano wa huyu mtoto mzazi na walimu wake utakuwaje baada ya ku-resume masomo yake; atakubali adhabu zote kama watoto wengine? kuna adhabu zingine hasitakubalika kutokana na uzazi - Wizara itatoa dokezo kwa watoto wa namna hii? Kwa mfano huwezi kumwambia mtu aliyetoka kujifungua miezi 6 ati aruke kichura, akimbie kuzunguka darasa sababu kachelewa nk
6. Je mapokeo kwa wanafunzi wenzake yatakuwaje? kumbukeni age kama hii kuna utani mkubwa - na nakumbuka kuna watoto huwa wanaacha shule sababu ya utani utani kwa mfano: we mama jitahidi darasani kama huwezi kalee mwanao nk
7. Je atakuwa na uwezo wa kuhimili mikiki ya masomo yake huku ana mtoto anahitaji attention yake akifika nyumbani? kuna H/W na kazi ambazo mtoto anahitaji muda kuzifanya akiwa nyumbani - Sitaki kusikia ati Bibi wa mtoto atamsaidia - si kazi yake.
Yapo mengi tu ambayo ukifikiri sana unaona kuruhusu kitu kama hiki hutakuwa umemsaidia huyu mtoto mzazi. Hao wanaharakati watafute njia nyingine ya kuwasaidia hawa watoto lakini si kwa kuwadanganya kwamba wakirudi shule wanaweza kuzikabili changamoto hizo hapo juu.
Kuruhusu jambo hili hamuoni litakuwa kama fungulia mbwa? watoto hawa hawa wanajua zipo kondom madukani tena zingine zinagawiwa bureee, lakini hawapendi kutumia - sasa kuruhusu kitu kama hiki ni kujaza wajawazito mashuleni.
Narudia tena, zile NGO zinazotaka watoto hawa wasome, zinaweza kuanzsiha program maalum nje ya ile ya kawaida ya kuwasaidia - wakija na write-up nzuri basi hata Serikali na sekata binafsi inaweza kusaidia pia.
JPM upo sahihi.
Zidi tu kumuunga mkono chizi anaekurupuka, mtu anaweza kumpa mtotowako mimba alaf akakimbia akatokomea kusikojulikana utabakia na hao watotowako ukiwa unaleawajukuu wasio na baba. Alaf bintizakopia watabakia nyumbani bila kwendashule utakaanao nyumbani as if ni wazako. Na je ataakifungwa si bado wewendio utagarimika kuwalea wajukuu kufungwa miaka 30 kwa mtuhumiwa weweitakusaidianini wakati bintizako pia hawatasoma?Mkuu Malizia yote pia amesema watakaowapa mimba wanafunzi miaka therathini jela, mimi namuunga mkono kwa sababu nina watoto wengi wa kike
Nililitarajia suala hilo. Kwani hukumsikia rais alivyosema kwa wanaopata kwa bahati mbaya.Kama amepata mimba baada ya kubakwa je?
Hapana,ukiliangalia suala hili kwa jicho la tatu ni sahihi kabisa alichosema Rais, hii ilikuwa inakatisha tamaa sana waalimu, pia maadili ya kijamii sio sahihi.Inawezekana vipi binti azae akiwa shuleni halafu tena arudi shuleni,hivi si atawadharau walimu kuwa hakuna kigeni asichokifahamu kuhusu mambo ya mapenzi? Si atawafanya wenzake waone ni sawa kujihusisha na ngono?Wakipata watoto si ruhusa kusoma tu? Kutakuwa na nidhamu kweli shuleni? Tunaimbishwa nyimbo za kijinga na wazungu nasi tunaimba na kuzifuata. Tumeletewa haya mafikirio ya wanaume kuoana wenyewe kwa wenyewe bado tunaona wapo sawa. Hivi kweli ambayo wanayapigia kelele tuyafuate na kuyafanya ambayo ni kinyume na utu anapotokea kiongozi kuyakemea bado tunalaamu tu na kuangalia kura? Viongozi wasifanye kazi eti kwa sababu kuogopa kutokosa kura? Za nani, zako au na za wengine wanaoona katazo hili ni sahihi kabisa? Tuwe na mishipa ya aibu kutotetea upuuzi tunaojazwa na hawa ngozi nyeupe. Yaliyo mazuri tuwakubalie, lakini ya udhalilishaji tuyakatae katu. Hizi NGO,s zinasapoti kwa sababu wanataka fedha, ila kwenye familia zao kimoyomoyo hawataki kusikia hicho kitu, waswahili walisema, pesa sabuni roho.Hivi huko majuu watoto waliozaa shuleni wanarudi tena shuleni kuendelea kusoma wakinyonyesha?Katazo hili litafanya watia mimba washughulikiwe hivyo kuleta woga wa mimba kwa watoto wa shule. Rais yupo sahihi kwa katazo hili.kwa hiyo amechagua ujinga.. tafuta wapiga kura mzee.. ukiwasomesha imekula kwa ccm
Wajinga ni bora kuliko mafisadi sodoma na ghoroma. Anayesoma kikwelikweli hatapenda sera ya ushoga au sodoma; mtabaki hawo hawo na ajenda yenu ya ukabila mnaitafutia hoja za kila ainakwa hiyo amechagua ujinga.. tafuta wapiga kura mzee.. ukiwasomesha imekula kwa ccm
Sjapotoshwa niko makini sana!!Hivi vi-NGO uchwara ndivyo vilivyo wapandikizia mawazo hayo potofu.Mkuu hata ukiwa mwalimu unaweza kupotoshwa.Mwalimu, wanafunzi waamue moja, kusoma au umalaya, hakuna jinsi.Ukiruhusu ujinga huo, utakuwa unahamasisha umalaya mashuleni,hatukubali.Mimi kama mzazi nasema uamuzi wa Rais ni wa busara mno.Hongera zake.Jamii yetu imepotoshwa vya kutosha,enough is enough.
Halalisheni zinaa tu iko siku yenuour no 1,leo amegusia topic muhimu mno ambaye yeye kama kawaida kaiweka kimihemko,please wana JF tujaribu kuidadisi hapa,ni kweli kila mzazi anapenda mtoto wake aelimike shuleni,
mtoto wa kike inapotokea anapata mimba why anaathibiwa yeye tu,maana anafukuzwa shule hadi yule wa kiume aliyempa mimba anaachiwa aendelee na masomo,kwangu huu ni utaratibu dume na unaendeleza ukandamizaji wa watoto wa kike,halafu baadaye tunakuja kupiga kelele ohooo mbona hatuna wasomi wengi wa kike,
kumbe wengi wao wameathiriwa na mfumo dume,solutions watoto wa kike waruhusiwe kuendelea na shule baada ya kuzaa,iandaliwe kampeni nchi nzima ili watoto wa kike wanaopenda wapigwa sindano za kuzuia mimba,na hizi zinatofautiana kutoka mwezi mmoja hadi miezi sita,ila ni lazima kila mmoja kupimwa maana zina side effects kutegemeana na mhusika,condoms zigawiwe bure mashuleni na iandamane na elimu nzuri how to use it safely,
its time noe tabia hii ya kuwafukuza shule only girls ife maana ni ya kibaguzi.