Rais Magufuli: Sitasomesha Wanafunzi waliopata ujauzito, siwezi kusomesha Wazazi

Rais Magufuli: Sitasomesha Wanafunzi waliopata ujauzito, siwezi kusomesha Wazazi

Mashoga na wanaobaka vibinti vya shule ndiyo wanachukia hatua zote hizi anazozichukua rais Dr. Magufuli.

Ila mwanaume, aliyetimamu na anakula "K" ya mwanamke aliyetimiza umri wa kuolewa na asiye mwanafunzi wa shule za sekondari na za msingi hana tatizo kabisa na kauli kama hiyo.
Wewe sio mzazi. Kama una watoto labda sio wa kike. Kama unao basi sio baba muwajibikaji. Tunaotatizwa na kauli hizo ni sisi wazazi sio hao watia mimba. Wao watatia mimba na watakimbia. Kazi itabaki sisi wazazi tunaotegemea shule hizi za kata!
 
Kama kweli kasema hivyo basi kapotoka sana na sikubaliani naye kabisa.

Mwanafunzi wa kike kupata ujauzito siyo kosa kubwa hivyo hadi anyimwe fursa ya kujiendeleza kielimu.

Hapo adhabu haiendani kabisa na kosa!
Akipata mimba usisahau kuwa atahitaji kunyonyesha na kumtunza mtoto miezi sita. Hawezi akazaa leo akarudi shule kesho utakuwa umezalisha baby mzuka. Amechagua kuzaa, azae na kulea. Kama anataka kusoma aache kuzaa; simple.
 
Kusema ukweli mimi nimechoka na hizi kauli za kuudhi kila siku, sijui hata nifanyeje!
 
Kama kweli kasema hivyo basi kapotoka sana na sikubaliani naye kabisa.

Mwanafunzi wa kike kupata ujauzito siyo kosa kubwa hivyo hadi anyimwe fursa ya kujiendeleza kielimu.

Hapo adhabu haiendani kabisa na kosa!
Wewe unataka mwanao akasome na ujauzito!! Huoni ni aibu mwanao anakwenda shule na mtoto hiyo itakuwa ni vema tuwafundishe maadili ya ukweli wanetu sio kuponda kauli ya rais kuruhusu jambo hilo ni kuruhusu umalaya hadi shule maana hata kinga hawatatumia wakijua shule watasoma tu hata baada ya kujifungua
 
Watanzania bwana kwa ujinga na kujifanya wajuaji ni namba moja...

Kwahiyo mlitaka Raisi aseme "mwanafunzi akipata mimba ni sawa tu, ataendelea na shule..." Big NO, haiwezekani...

Angeruhusu hilo uku mtaani ingekuwa machafuko, mazingira ya watoto wengi wa kitanzania tunayajua. Watoto wangeanza kupigana mimba uku mtaani. Yani mtoto anazaa mtoto. woga saa nyingine unasaidia...

Msilete mambo ya ajabu.... Msitetee mambo ya ajabu...
 
mmmh kinachofwata kutakuwa na ongezeko kubwa la watoaji mimba.
Bora kuliko kusoma na mtoto ni aibu inaonesha mwanafunzi hakufuata maadili ni aibu kwa mzazi kwanza
 
Rais anapokuwa wakwanza kuwanyima watu wake haki yao yakupata elimu basi tupo pabaya sana kama taifa.
Na akiruhusu atakaepata mimba aendelee na masomo tu hakuna msichana atakaepona darasani,wote watapata mimba,chezea wabongo wewe ????!!!
 
Habari wanaJF,

Leo akiwahutubia wakazi wa Bagamoyo, Mkoani Pwani. Rais Magufuli amesema hakuna Mwanafunzi aliyebeba ujauzito atakayerudi shule katika utawala wake. Akaongeza kuwa hawezi kufanya kazi ya kusomesha wazazi.

" Inaweza kufika kipindi darasa zima linawatoto, Mwalimu akifundisha wao wanatoka nje kwenda kunyonyesha".

Hata kama ni watoto wangu, yani nikupeleke shule alafu upate mimba nikurudishe? Aende akapate mimba aone kama nitamrudisha.

Mimi nimetoa fedha ili mwanafunzi asome bure, halafu leo mtu apate mimba arudi shule? Ndani ya utawala wangu, haitotokea.

Wakati mwingine ukizikiliza hizo NGOs zitakuwa zinalipeleka taifa pabaya. Ndani ya utawala wangu haitotokea. NEVER.

Hizi NGOs kama zinawapenda sana hao watoto zikafungue shule zao za kusomesha wazazi. Serikali haiwezi kuwasomesha.

Hawa wanaotuletea haya mambo hawatupendi ndugu zangu. Wametuletea dawa za kulevya, wameleta ushoga ambao hata ng'ombe hawana.

Huku kuiga iga tutakuja kuiga mambo ambayo hata hayafai. Wanakuja na misaada ambayo ni mali zetu wametuibia.

Nyie wafugaji mmefuga lakini hamjawahi kuona hata mbuzi au nguruwe amekosea huu mchezo. Lakini wao wanataka Watanzania wakosee.

Wakati huo huo, Rais amesema kuwa anawaomba msichukue maeneo ya Magereza, hata mimi nikifungwa siku moja nipate sehemu ya kulima.

Rais Magufuli ametoa eneo la ekari 65 kwa wananchi lililokuwa na mgogoro kati yao na Jeshi la Magereza.

Mheshimiwa nimekuunga mkono,Mwenyenzi Mungu aendelee kukuongoza,,
 
Dah, inasikitisha sana kuwaona watu kama nyie mnashangalia suala la mtoto wa kike kunyimwa haki yake ya msingi "Elimu". Kuna msemo usemao "mtoto akiunyea mkono haukati", sasa kwanini mtoto wa kike akibeba mimba anyimwe haki yake. Mm nina mdogo wangu alibeba mimba akiwa shule ila alifanikiwa kuendelea na masomo yake na baada ya kujifungua alilea mtoto miezi mitatu akarudi shule kama kawaida. Mimba sio ulemavu na kupata mtoto sio mwisho wa maisha.

Akipata mimba usisahau kuwa atahitaji kunyonyesha na kumtunza mtoto miezi sita. Hawezi akazaa leo akarudi shule kesho utakuwa umezalisha baby mzuka. Amechagua kuzaa, azae na kulea. Kama anataka kusoma aache kuzaa; simple.
 
Mama samia anasemaje kuhusu hili? Maana kuna cku ktk kuptapta mitandaon nkakuta chanzo flan hv et kmeandka mama anampango wa kuwafany watoto wa kike waliopata ujauzto warud shulen,sasa hii imekuaje jaman? Wacha m nbak neutral sina tim
 
Kama kawaida ya mzee wa visasi, hivi hajui kuna watu wana chukua masters na tayari wana watoto wenye watoto.

Elimu ni haki ya kila mtu, hata kama mtoto wa sekondari kapata mimba haimaanishi hiyo haki yake inapotea, aendelezwe baadaye aje kuokoa mtoto sio kukaa anaongeza idadi ya wajinga wasio na kazi. Midingi yenye phd feki ndo haiwezi kuliona hili. Tz won't be saved by this guy, he's a joke.
Hii italeta adabu kwa mtoto wa kike
 
hata msipowarudisha shuleni,hamjakata mzizi,

wasichana na wavulana at that age,wanajifunza kuexperiment mambo mengi yanayotokea/kubadilika na baiolojia zao,

hio ni nature,

hata nchi zilizoendelea kabisa,tatizo la mimba shuleni ni la kawaida.
Sawa! Wewe unashauri nini? Hizo nchi zingine zinafanyaje kuhusu hili?
 
Bora kuliko kusoma na mtoto ni aibu inaonesha mwanafunzi hakufuata maadili ni aibu kwa mzazi kwanza
mmmh yani bora kutoa mimba???? kuliko kuwa na mtoto???alitakiwa kuboresha mazingira mazuri ya elimu ili kuzuia haya yote.
 
Ili usiwape ajira kama sasa, angekuwa mtoto wako ungesema hivyo. Shida mnazungumza theory na sio practical.
 
Wewe unataka mwanao akasome na ujauzito!! Huoni ni aibu mwanao anakwenda shule na mtoto hiyo itakuwa ni vema tuwafundishe maadili ya ukweli wanetu sio kuponda kauli ya rais kuruhusu jambo hilo ni kuruhusu umalaya hadi shule maana hata kinga hawatatumia wakijua shule watasoma tu hata baada ya kujifungua

Mtu kuwa na mtoto ni jambo la aibu?

Bure kabisa wewe!!!!
 
our no 1,leo amegusia topic muhimu mno ambaye yeye kama kawaida kaiweka kimihemko,please wana JF tujaribu kuidadisi hapa,ni kweli kila mzazi anapenda mtoto wake aelimike shuleni,

mtoto wa kike inapotokea anapata mimba why anaathibiwa yeye tu,maana anafukuzwa shule hadi yule wa kiume aliyempa mimba anaachiwa aendelee na masomo,kwangu huu ni utaratibu dume na unaendeleza ukandamizaji wa watoto wa kike,halafu baadaye tunakuja kupiga kelele ohooo mbona hatuna wasomi wengi wa kike,

kumbe wengi wao wameathiriwa na mfumo dume,solutions watoto wa kike waruhusiwe kuendelea na shule baada ya kuzaa,iandaliwe kampeni nchi nzima ili watoto wa kike wanaopenda wapigwa sindano za kuzuia mimba,na hizi zinatofautiana kutoka mwezi mmoja hadi miezi sita,ila ni lazima kila mmoja kupimwa maana zina side effects kutegemeana na mhusika,condoms zigawiwe bure mashuleni na iandamane na elimu nzuri how to use it safely,

its time noe tabia hii ya kuwafukuza shule only girls ife maana ni ya kibaguzi.
Well said mkuu
 
Huyu anataka bei ya kutoa mimba ipande sasa! Ghafla ukimimbisha mchepuko itakugharimu parefu maana demand kubwa kitoka kwa students!
 
Kama kweli kasema hivyo basi kapotoka sana na sikubaliani naye kabisa.

Mwanafunzi wa kike kupata ujauzito siyo kosa kubwa hivyo hadi anyimwe fursa ya kujiendeleza kielimu.

Hapo adhabu haiendani kabisa na kosa!
Huwezi kusomesha wajawazito,, dunia nzima hakuna, hata ULAYA hawafanyi hivyo, Ukizaa unasoma kama mtu mzima, ukichanganywa na watoto wataiga mwenzao,,kale kamchezo lazma kawekewe sheria

Back
Top Bottom