Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Raisi ajakataza watu tusizae mh kakataa mwanafunzi kubeba mimba akiwa bado masomi tena elimu ya msingi hicho ndio kakataaMkuu kwani wewe ni mgumba??
kwanza wako wangapi. alafu statistics zinasemaje? maana wengine tumesoma mjini na watu wanakila kitu na mimba walipata. Binafsi bila kujali ni bahati mbaya au makusudi wanaweza kutafutiwa utaratibu mwingine nje ya ule ambao wengine wanaendelea nao.Wazungu hawajafundisha watoto kupata mimba shuleni, wala hawatulelei watoto wetu, mzazi anamwacha mtoto na house girl, baba mlevi, familia hazina maadili, hali ngumu ya uchumi hairuhusu wazazi kuwapatia watoto mahitaji muhimu, wazazi wenyewe hawana elimu ya kutosha kwa hiyo kwa hiyo hawawezi kuwapa elimu ya uzazi watoto wao, jamii nzima imevurugika kwa umaskini...leo hii tuna mzuia mtoto wa kike kurudi shule, hapo aliyemtia uja uzito ama yupo shule pia ama hana kipato cha kueleweka ama kakataa ujauzito ule. Mtoto ambaye hana kosa lolote anazaliwa kwenye umaskini , hapo tutakuwa tume tatua matatizo au kuyaongeza?
Sio kila kitu tusingizie wazungu, hili tatizo ni ishara ya mapungufu mengi serikalini na kwenye jamii
Ndio maana yule naniliu niKILAZA
Mara ngapi? Umesahau ya KILAZA?
Hiyo ni exceptional case mkuu, huwezi kufanya maamuzi based on thatInakuwaje pale Binti mwanafunzi akapata mimba baada ya kubakwa!!
Usitukane watu bila kufikiri kwa makini.Da!mepitia comment karb zote kuhusu hii mada,na nimechoka kwel kwel. Lakin megundua haya hapa:
1, watu pamoja na vichwa vyao kuwa vikubwa lakin vimejaa mifupa tu akili kdogo.
2, Watanzania tumebalikiwa tu macho ya kuona mbele,lakn tumenyimwa peo za kutazama mbali..bnafs sintakaa nimuunge mkono huyu mtukufu kipenzi cha zero brain kwa hili
Kwanza najiuliza maswali haya;kwa nn kla ktu haamue yy?, bunge ni LA kaz gani..mijadala ka hii ambayo inagusa taifa zima maamuz yatoke bungen baada ya majadiriano na kupima nguvu ya hoja za pande zote.
Lakin hili suala la kukurupuka na kuja na conclusion ni kuelendelea kulichimbia taifa kaburi la hatari,..this is a blind decission,education is the right for every individual..naamni kwa asilimia nying kuwa hata bungen wapo walobeba mimba wakiwa shulen,wengne ni mawazr na wengne wana nyazifa kubwa serikalin na taasis bnafs,Mr president think critically and decide logically
Pendekezo lang,katiba ibadilishwe mpiga kura atleast awe na elim ya form four,..
Nchi yetu bado ni ya dunia ya tatu,hiyo luxury ya shule maalum za waliojifungua tunaitoa wapi?kama taifa tayari tuna mifumo ya elimu ya watu wazima ambayo elimu yake ni bei ndogo.Labda tujiulize elimu inatolewa kwa ubaguzi?
Ni haki kwa watu kupata elimu?
Kupata mimba kunazuia mtu kuelimika?
Serikali iweke shule maalumu kwa wote watakao kumbwa na hilo jambo. Hiyo tu itawafanya waone pia ni kosa.
Kuruhusu pia haina maana ndio itaruhusu mimba kwa watoto,maadili yetu bado yapo vilev ile.
Huyu jamaa aandikiwe hotuba, kumnyima mtu elimu ni kumkatalia haki yake ya kibinadamu yale maazimio tuliyosaini yatawabana watakaotekeleza huu ujinga.
Juzi kawaponza trafiki wawili.
Ninazungumzia wanafunzi. Baba kumbaka mwanaye ni USHETANI.Tema mate chini wewe.... na wale watoto wa miaka miwili wanabakwaga gulioni??? Wanaobakwa na baba zao ni gulioni huko... fikiria kabla hujaropoka
Hata hivyo lakini inatakiwa lugha ya staha,Huu mfano wa kuonesha kuwa ushoga ni kinyume na uasilia wa viumbe hai hauna tatizo na hamna njia ya kiungwana ya kuelezea tabia chafu kama hii.
Basi kawatengenezee shule yaoHapo kapotoka sana na sikubaliani naye kabisa.
Mwanafunzi wa kike kupata ujauzito siyo kosa kubwa hivyo hadi anyimwe fursa ya kujiendeleza kielimu.
Hapo adhabu haiendani kabisa na kosa!