Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,487
- 13,611
Mkuu kaongelea pande mbili ambazo kwa bahati mbaya wewe umeiongelea pande moja tu.our no 1,leo amegusia topic muhimu mno ambaye yeye kama kawaida kaiweka kimihemko,please wana JF tujaribu kuidadisi hapa,ni kweli kila mzazi anapenda mtoto wake aelimike shuleni,
mtoto wa kike inapotokea anapata mimba why anaathibiwa yeye tu,maana anafukuzwa shule hadi yule wa kiume aliyempa mimba anaachiwa aendelee na masomo,kwangu huu ni utaratibu dume na unaendeleza ukandamizaji wa watoto wa kike,halafu baadaye tunakuja kupiga kelele ohooo mbona hatuna wasomi wengi wa kike,
kumbe wengi wao wameathiriwa na mfumo dume,solutions watoto wa kike waruhusiwe kuendelea na shule baada ya kuzaa,iandaliwe kampeni nchi nzima ili watoto wa kike wanaopenda wapigwa sindano za kuzuia mimba,na hizi zinatofautiana kutoka mwezi mmoja hadi miezi sita,ila ni lazima kila mmoja kupimwa maana zina side effects kutegemeana na mhusika,condoms zigawiwe bure mashuleni na iandamane na elimu nzuri how to use it safely,
its time noe tabia hii ya kuwafukuza shule only girls ife maana ni ya kibaguzi.
Mja mzito hatakiwi kuendelea na shule na yule aliyempa uja uzito anafungwa miaka 30 jela.
Anayeharibu maisha ya mtoto wa kike, haachwi akaendelea kutanua mitaani, anakwenda kuzeekea jela.
Changamoto ipo kwa baadhi ya wazazi wenye kutoa ushirikiano kwa wale wanaowapa uja uzito wanafunzi.
Umasikini wa baadhi ya familia ndio huwa pona ya hawa washenzi wanaopenda kuzifuatilia vichochoroni, sketi za wanafunzi.