Msengapavi
JF-Expert Member
- Oct 23, 2008
- 8,919
- 7,772
DAB naye yupo, kwa hiyo angalie asikumaki sura!Nitakuwepo pale na nitakuwa miongoni mwa watakaomshushia nyundo huyo "Jiwe" kama nitapewa fursa. Akileta longo longo basi nyundo italisambaratisha "Jiwe" kabisa kabisa.