Rais Magufuli: Sitatenga hela ya Katiba Mpya ili watu waende Bungeni kula; wala sikuinadi kwenye kampeni

Rais Magufuli: Sitatenga hela ya Katiba Mpya ili watu waende Bungeni kula; wala sikuinadi kwenye kampeni

Naona Prof anaichana Serikali iache kukodoa mara baada ya kuandaa mioango mizuri iitekeleze.
 
Prof: Humfrey Moshi anahitimisha lakini sijamuelewa saana. Labda komenti za humu zitasaidia kumuelewa vizuri.
 
Miaka mitatu ya uchumi na siasa,mbona mchokoza mada hajagusia kabisa upande wa siasa?
 




DHANA YA “UJAMAA NA MAENDELEO YA VIWANDA” PAMOJA NA DHANA YA IPO SIKU TUTAITUMIA KWA MAENDELEO ENDELEVU

Kama ilivyo wanadamu tuna mahitaji mengi ya msingi na tukiwa tumetimiza miaka 19 ya kifo cha Mwalimu Nyerere, ni vyema tukatafakari kama taifa lenye watu wapatao 59,000,160 litawezaje kujikimu katika masuala ya kijamii, kiuchumi na kiutamaduni. Hapo ndipo utangundua ni ukweli usiopingika kuwa muda wa serikali kutekeleza falsafa ya ujamaa ulioboreshwa umefika ili kutengeneza ajira, na nchi kupiga hatua kubwa kuelekea uchumi wa kati 2025.

Ili kufikia dira hiyo, kwa kipindi cha miongo kadhaa watanzania imekuwa ikijikita kwenye uchumi wa kutoa huduma badala ya uzalishaji mathalani uchumi wa nyumba za kupanga, bodaboda, simu n.k. Hali iliyopelekea vijana wengi wasomi wakiwa mitaani bila ajira pamoja na kuwa tegemezi kwa jamii. Kutokana na hali hiyo, kuna haja kwa viongozi kuweka mazingira yatakayofanikisha sera ya ujamaa pamoja na sera ya ubepali kutumika ili kufikia azma ya serikali ya viwanda na kufanya miundombinu ya reli na barabara kutumika ipasavyo. Madhalani, Serikali inaweza tumika taasisi zake ikiwemo NHC kujenga jamii zenye nguvu (Communities) kwa kujenga nyumba (miji) yenye tija katika maeneo ya uzalishaji na kuajiri vijana kama ilivyoanzishwa taasisi ya Kilimo (Mbeya) na Mpwapwa (Dodoma).

Utekelezaji makini wa Sera ya Mixed Economy nchini kutasaidia kuondoa tatizo la ajira kwa vijana wa kiwango cha medium zone pamoja na kuongeza uzalishaji utakaosadia kuongeza bidhaa, utulivu wa shilingi, utulivu wa kisiasa na kudumisha amani nchini. “hivyo ni vyema wanasiasa mkasaidia maandalizi ya kuanzisha vituo vya uwekezaji kulingana na mahitaji ya eneo na wakati husika” kwani ni ukweli usiopigika kuwa tatizo la ajira linaathari siyo katika jamii ya Tanzania pekee pia hata nchi zilizoendelea hivyo ni wakati wa kufunga mkanda (Benjamini Willium Mkapa) kwa maendeleo endelevu.



TATIZO LA VIJANA WALIOWENGI NI NYUMBA (kulipa kama bia kuelekea kwenye umiliki wake) + TRACTOR​

MORE STRATEGIES (attached)​
 
Prof: Humfrey Moshi anahitimisha lakini
sijamuelewa saana. Labda komenti za
humu zitasaidia kumuelewa vizuri.
Anaambaa ambaa na notes. Eti kuna wakati tuliwazidi China. Hajui kuwa wakati tunawazidi(kama ni kweli) ni wakati ambapo tulikuwa 'sehemu' ya Britain. Yaani mtu wewe ni House girl kwa waziri. Unaacha kazi unarudi kwenu halafu unasema kuna wakati Mimi nilikuwa ninakula mlo mzuri kuliko huyu mwalimu wetu jirani hapa kijijini,sasa hivi kanizidi. Kumbe ni kuwa wakati ule alilinganishwa mwalimu na waziri
 
Tayari wameshaanza kuimba mapambio. La kwanza LA leo ni kumsifia kwa kuteua wahadhiri katika nafasi mbalimbali za uongozi!

Prof. Moshi kazingua sana.Kaimba mapambio mwanzo mwisho.Angalau huyo wa Geology naona anachambua mambo ipasavyo
 
Wale jamaa nawaona wakiruka na kukanyagana ...
 
Back
Top Bottom