cariha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 22,067
- 46,709
Nimefatilia wote kuanzia mzungumzaji wa kwanza wengi hawasimamii kweli mfano prof Moshi mara alisema tusitegemee mksaada ya western countries ndo imetufanya hatupigi hatua eti China wamepiga hatua ndo tu side nao tangia ujenzi wa Reli ya mwanzo kitu ambacho si ukweli umaskini watu ni uzembe wetu wenyewe. Sasa kongamano la kisomi prof hashauri kisomi hyo si matumizi mabaya ya elimuTaa mtaani inaingia katika kipengele cha nishati jadidifu - renewable energy.
Jitahidi kuelewa muktadha mzima wa mtu na sio kuchagua kipande cha kujadili pasipo kuoanisha na msingi mzima wa kinachoongelewa.