Farolito
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 15,126
- 35,515
Yeye kama mwalimu Kashampa A++ kwa kwa kilichofanyika kwa miaka 3prof.Mushi kazingua sana.Kaimba mapambio mwanzo mwisho.Angalau huyo wa Geology naona anachambua mambo ipasavyo
Yeye kama mwalimu Kashampa A++ kwa kwa kilichofanyika kwa miaka 3prof.Mushi kazingua sana.Kaimba mapambio mwanzo mwisho.Angalau huyo wa Geology naona anachambua mambo ipasavyo
Huyu wa geology ndio naona kazingua zaidi.. anasifia sana.prof.Mushi kazingua sana.Kaimba mapambio mwanzo mwisho.Angalau huyo wa Geology naona anachambua mambo ipasavyo
Huyu wa pili ndo haeleweki kbsaa...wanajidharirisha mbele za wanafunzi wao.Naangalia hapa mbona wanapindisha ukweli hafu Ili kongamano limebase kusifia mara twakimu REA
La kusifu na kuabudu mkuu[emoji2][emoji23][emoji23]Hili ni Kongamano la Hali ya uchumi na siasa au Kongamano la "kusifu" na "kuabudu"??
Hawa ndo wasomi watu kaanda vtu havina logic kabisa au ndo kutaka wateuliwe. Kazi ya wasomi ni kutoa dira kwa meandeleo, sasa huyu msomi anazungumzia eti taa mtaaniHuyu wa pili ndo haeleweki kbsaa...wanajidharirisha mbele za wanafunzi wao.
Anasema taa kumulika barabarani pengine labda ni sola inapotea.
Kisha anajikita ktk sigilas gorge.
Kwa uelekeo ulivyo naotea atakae ita spade a spade labda ni huyo mama atakayeongea kuhusu mada ya lugha anaitwa prof Kworo.Wachangiaji wanamsifia jiwe badala ya kufanya uchambuzi yakinifu!
Anaruka ruka mara rushwa, Barbara, uadilifu anamsifu, rais sana he is not articulate halafu hawa watu ukiwapelekea proposal wanakwambia hawaoni problem lkini wao wenyewe hawaoneshi problem hapohuyu wa geology ndio naona kazingua zaidi.. anasifia sana.
Taa mtaani inaingia katika kipengele cha nishati jadidifu - renewable energy.Hawa ndo wasomi watu kaanda vtu havina logic kabisa au ndo kutaka wateuliwe. Kazi ya wasomi ni kutoa dira kwa meandeleo, sasa huyu msomi anazungumzia eti taa mtaani
Nilifikiri atazungumzia jipya lolote katka nedani za jiolojia, akaishia kusifia tena kwa kupitiliza huku kwa makusudi akioneka 'kuomba' usikivu wa jiwe!Anaruka ruka mara rushwa, Barbara, uadilifu anamsifu, rais sana he is not articulate halafu hawa watu ukiwapelekea proposal wanakwambia hawaoni problem lkini wao wenyewe hawaoneshi problem hapo