Kwa ambao hawawezi kukuamini wamsikilize Prof K. Mkumbo!Hili si kongamano , ni mkusanyiko wa hotuba za waunga mkono juhudi .
Unajua katika jambo ambalo awamu ya 5 haiwezi ni kwenye propaganda , yaani hata mbumbumbu anafahamu hii imepangwa , halafu imepangwa kishamba sana !Wachangiaji wa mada ni CCM tupu!
Kujitegemea ndio mpango mzima. Anachopinga prof Mushi ni ile tabia ya mzungu kukwambia usifanye hiki na kile halafu yeye akiwa kwao anafanya. Ndio maana ya mfano wa airbus na boeing kumilikiwa na serikali za Uingereza, Ujerumani na Ufaransa halafu tunaletewa dhana ya sisi kutokuwa na haki ya kumiliki mashirika yetu ya ndege.
Jakaya Halphani Mrisho Kikwete!Huyu jamaa anapenda kusifiwa jamani daaaah waliotuletea huyu mtu walaaniwe kwa mawazo na maamuzi yao ya ovyo yanayotuumiza wengi
Hii ndio Tanzania ya wasomi wanafki au mbwa wasio na meneno yaan mchangiaji wa Kwanza full kutetemeka anaongea Kama anakimbizwa. Ili ujue hii nchi ni ya kipumbavu huku kwetu tayal wameishachukua umeme wao
Sad realitySerikali inayotunga, kusimamia na kutekeleza sera za uchumi tena kwa mawazo ya mtu mmoja ndo iwe mshiriki mkuu wa kongamano la uchumi??