Rais Magufuli: Sitatenga hela ya Katiba Mpya ili watu waende Bungeni kula; wala sikuinadi kwenye kampeni

Rais Magufuli: Sitatenga hela ya Katiba Mpya ili watu waende Bungeni kula; wala sikuinadi kwenye kampeni

Wanaoangalia kupitia TBC wajiandae kisaikolojia kwa sababu matangazo yatakatwa pale wakosoaji wa kawaida wa sirikali watakapoanza kuchangia!!
 
Mchangiaji wa sasa hivi Prof. Kitila Mkumbo kwa kwelii anachoongea hutegemei kitoke kwake hotuba dhaifu sana isiyo na hoja za msingi kwenye platform kubwa kama hiyo na level yake ya elimu
 

Kongamano halijaisha ila namtangaza msifiaji bora ni Kitila. Najua hawezi tokea wa kumzidi.​
Mimi sio pinga pinga kitila mkumba ametendea haki nafasi aliyopewa

Anatema cheche na fact hata kama anampigania jiwe lakini amebase kwenye fact

Wote tunajua kitila ni product ya wapi yeye ni optimist na anaitumia hii golden chance ipasavyo sio sawa na wachumia tumbo waliotangulia
Imagini jiwe angewapa chance lissu na zitto et allll
 
Kwa aina ya uwasilishaji mpaka hivi sasa nina uhakika kabisa kwamba ama baada ya Kongamano kumalizika au ndani ya Wiki moja ijayo au hata Mwezi kama patatokea ' teuzi ' yoyote basi Profesa Martha Qorro safari hii ' ataula ' na naomba nianze Kumpongeza / Kumkongole mapema.
 
Mimi sio pinga pinga kitila mkumba ametendea haki nafasi aliyopewa

Anatema cheche na fact hata kama anampigania jiwe lakini amebase kwenye fact

Wote tunajua kitila ni product ya wapi yeye ni optimist na anaitumia hii golden chance ipasavyo sio sawa na wachumia tumbo waliotangulia
Imagini jiwe angewapa chance lissu na zitto et allll
Hakuna anayeweza kusimama kinyume na anapokula.​
 
Hamna kitu hapo, mtu anayeona kutofautiana naye bora asiishi, hapo hamna kitu ni kujipendekeza kwa kwenda mbele
 
Na bahati nzuri ukikutana nao kwa ' one to one ' ni Wazungumzaji wazuri sana lakini hata wakiwa wanafanya ' Lecturing ' zao Chuo Kikuu cha UDSM huwa ni wazungumzaji wazuri na watoa ' Madini ' makubwa ila nimeshangaa na nimesikitika kuona wakiwa ' Mdahaloni ' mahala fulani muda wote wakiwa ' wanatetemeka ', ' hawajiamini ' na ' wanaogopa ' mno.

Nao ni Maprofes Moshi na mwenzake Qorro.

Nawasilisha.
umewahi kukutana nao wapi hao maprofesa ?
Wamekufundisha kozi gani na mwaka gani?
 
Prof. Moshi kazingua sana.Kaimba mapambio mwanzo mwisho.Angalau huyo wa Geology naona anachambua mambo ipasavyo
mchaga anaangalia fursa.yule prof sijamuelewa kabisa zaidi ya kuomba kwenda ikulu kunywa juisi na rais
 
Mkuu tuseme ukweli, hakuna prof. mwenye usubutu wa kuzungumza kwa kukosoa pale. Wote wako biase kutokana na mazingira ya kongamano lililo andaliwa na wakalibishwaji. Mfano wewe ungekaribishwa pale ungeweza kusema jambo lolote la kukosoa. Mfano huyu prof. anayewasilisha maada ya lugha, anadai eti watoto wetu wafundishwe kiswahili tu, waachane na kingereza. Jamani hivi dunia ya leo ni ya kujifunza lugha mmoja tu?.
Msikilize tena bosi.
 
Wana mbwembwe hao wawapo darasani ila ona hapa wanavyojidharirisha mbele ya wanafunzi wao
 
Back
Top Bottom