Ili awaagizie wasiojulikanaNamuona DAB pale amejipanga kupambana na maprofesa watakaoenda kinyume na protokali![emoji123][emoji123][emoji123]
Thubutuu,, hapo lazima ziwe sifa kede kedeMi nasubiria pale kuhusu haki na utawala wa sheria
JPM jembe sana.....kuruhusu na kushiriki kongamano hili.....anajiamini sana na yupo vizuri katika uongozi na utawala bora.....endelea ku kandamiza mwana wane.....
Tena wa motoKiongozi mahiri lazima awe Na wafuasi wa kumfuata Kwa HIARI, Msumari huo Kwa Jiwe
Yaani kama watoto wachekechea vile.Eti maprof duu.Full aibu.Uoga mwingi mno
Ha ha ha! Hili kongamano la leo, acha tu!Wasomi wa Tanzania ni mzigo nimemsikiliza yule profesa wa kichaga anatamani akaribishwe Ikulu kunywa chai duh.Wasomi wetu ndo chanzo cha umasikini wetu.
Hakuna kitu huoni anasifu na kuabudu? Anapomlinganisha jiwe na Nyerere!Naona Prof. Mukandara anagonga nyundooo za ukweli
Mkuu Tajiri Kichwa, kujitegemea kwa Africa dhidi ya mikono ya wazungu ni vita ya kudumu, sio ya siku moja au mbili.Kama hawapendi ..mbona wao wamekuwa msaada wa miundo mbinu mingi africa na ata tanzania mfano ni mradi wa mwendokasi..ebu nipe maelezo mazuri
Maana miradi mingi tunasikia kwa hisani ya watu wa marekani