Rais Magufuli: Sitatenga hela ya Katiba Mpya ili watu waende Bungeni kula; wala sikuinadi kwenye kampeni

Huwezi kupata chochote kuhusu hal ya uchumi kwa rais kuwepo kwenye kongamano....wanaojua hali ya uchumi wa nchi ni kina Damgote, mengi, mo, etc hao ndo wanatakiwa wapewe jukwaa huru waseme kuhusu uchumi rais akiwa ikulu anakunywa chai na kuangalia tv.....
Vinginevyo haya ni maigizo na tutarudi kupewa uongo kuhusu hali ya uchumi wa nchi ambayo kimsingi mbaya sana
 
anaejua link ya kuangalizia mtandaoni atujuze
 
Wapi Prof Lipumba?
 
JPM jembe sana.....kuruhusu na kushiriki kongamano hili.....anajiamini sana na yupo vizuri katika uongozi na utawala bora.....endelea ku kandamiza mwana wane.....
Karuhusu ila kuna mipaka imewekwa, ndio maana Zitto amewekwa central ili asishiriki hilo kongamano la uchumi, maana ana maswali yasiojibika na angechafua hali ya hewa[emoji18]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…