Elifuraha mwandu
Member
- Oct 4, 2018
- 70
- 72
Mkuu kwanini unataka Katiba Mpya?
Unafikiri nini Kitabadilika Katika Utekelezaji ikija Katiba Mpya?
Unahisi mambo "Yako"Ambayo unatamani yawe yanashindikana kwasababu hayamo katika Katiba ya Sasa?
Je Yale unayoyapenda ambayo yapo kwenye Katiba ya sasa Ni Kwa Kiasi gani Yanatekelezwa?
Au unadai tuuuu Mpyaaa,Mpyaaa Ili ionekane una kitu Kipya?
Ni Kupoteza hela tuu.Maendeleo Kwanza!
Taarifa hii iwafikie vilaza wa lumumba na mwenyekiti wao asiejielewa,akidhani uchumi wa nchi unajengwa na visasi,mauaji,maprof,na madokta wenye phd feki kama yeyeAliposema serikali ina bil 5,hakuhesabu na za Mo Bavicha mmekuaje siku hizi?.
Chadema akaunti yao wana balance ya milioni 37, Lowassa benki ana bil 37 sio sahihi kusema utajiri wa Chadema wanadaiwa na Lowassa mara 1000
Hawajitambui...watakwimu hawa! Tunajua jinsi..Kenya ilivyofanikiwa...kujenga matabaka nchini mwake kati ya wenye nacho na wasiokuwa nacho. wenye nacho tunajua wanaficha wapi ela zao...na wanashirikiana na akina nani kuhakikisha pengo kati ya 'commoners' na wenye nacho huko Kenya linazidi kuongizeka. Siwezi kununua hadithi hii.
Upupu mtupu huu walahiTaarifa hii iwafikie vilaza wa lumumba na mwenyekiti wao asiejielewa,akidhani uchumi wa nchi unajengwa na visasi,mauaji,maprof,na madokta wenye phd feki kama yeyeView attachment 919251
True walahiHawajitambui...watakwimu hawa! Tunajua jinsi..Kenya ilivyofanikiwa...kujenga matabaka nchini mwake kati ya wenye nacho na wasiokuwa nacho. wenye nacho tunajua wanaficha wapi ela zao...na wanashirikiana na akina nani kuhakikisha pengo kati ya 'commoners' na wenye nacho huko Kenya linazidi kuongizeka. Siwezi kununua hadithi hii.
Kuwa huru kifikra ndugu..Rais Magufuli amenifurahisha kwa kuwa mkweli kwamba hakuwahi kuinadi katiba mpya na wala siyo kipaumnele chake hata sasa.
Kauli hii ilinifanya nirudi nyuma nilitafakari Bunge maalumu la katiba na ile Tume ya Jaji Warioba. Nikawakumbuka akina Prof Kabudi na kijana Polepole walivyokuwa chachu ya matumaini ya " hiyo" katiba mpya. Tena nikamkumbuka Prof Lipumba na timu nzima ya UKAWA walivyotokomea mitini wakati ule wa BMK tena bila sababu zenye mashiko. Nikamkumbuka "mtaalamu" na injini iliyowezesha kupatikana Katiba Pendekezwa mzee Chenge aka Joka la Makengeza na timu yake ya akina Dr Tulia. Ndipo kwa mbali nimebaini wslioitaka kwa ukweli kabisa Katiba mpya ni Dr Sengodo Mvungi rip kwa upande wa Tume ya Warioba na Mwanasheria mkuu wa Zanzibar kwa upande wa BMK wengine walikuwa wasindikizaji tu.
Chukua mfano wa wabunge wa chadema wanashindwa kutengeneza Katiba yao ili wajiongoze vizuri na badala yake wanakimbilia CCM, je hawa ndio wataweza kutengeneza Katiba ya wananchi?.......au wataenda kushibisha matumbo yao tu.
Niishie hapo!
Hata Zitto akifanya vizuri namsifia......acha kukariri mbwiga!Kuwa huru kifikra ndugu..
Yani kila analofanya huyu kichaa wewe ni kusifia tu..
Very Shameful.
Bora mbwiga kuliko wewe msukule wa kusifia kila kitu cha Watawala..Hata Zitto akifanya vizuri namsifia......acha kukariri mbwiga!
Wewe mbwiga Mbowe hakutawali hapo Ufipa?!Bora mbwiga kuliko wewe msukule wa kusifia kila kitu cha Watawala..
Your mind isn't independent idiot dimwit..!!
Wala hujakosea!Ukute ww ni 30+ mwenye watoto wawili afu unaandika utumbo na kusifu.. very sad